Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Benki ya HSBC yajiunga na harakati ya kuisusia Israel

    Benki ya HSBC yajiunga na harakati ya kuisusia Israel

    Dec 28, 2018 21:39

    Benki mashuhuri ya HSBC ambayo ni ya saba kwa ukubwa duniani imesitisha ushirikiano wake na kampuni ya kuzalisha silaha ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya Elbit Systems, kutokana na ukiukaji wa haki za binadamu.

  • Marekani imeshatumia dola bilioni 130 kwa ajili ya utawala haramu wa Israel tangu kuundwa kwake

    Marekani imeshatumia dola bilioni 130 kwa ajili ya utawala haramu wa Israel tangu kuundwa kwake

    Dec 28, 2018 21:38

    Takwimu rasmi zinaonyesha kuwa katika kipindi cha miongo saba iliyopita tangu ulipoasisiwa utawala wa Kizayuni wa Israel, serikali ya Marekani imegharimika na kutumia dola bilioni 170 kwa ajili ya kuuhami na kuulinda utawala huo bandia.

  • Sababu za kuvunjwa bunge la Israel

    Sababu za kuvunjwa bunge la Israel

    Dec 27, 2018 23:28

    Wabunge wa bunge la Israel (Knesset) wamepasisha muswada wa kulivunja bunge hilo na kuitisha uchaguzi wa kabla ya wakati wake katika ardhi hizo za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Kuendelea kutapatapa Israel na kuzidi kugonga mwamba hujuma zake tasa dhidi ya Syria

    Kuendelea kutapatapa Israel na kuzidi kugonga mwamba hujuma zake tasa dhidi ya Syria

    Dec 26, 2018 22:54

    Vyombo vya habari vya Syria vimetangaza kuwa ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel, Jumanne usiku zilishambulia mji mkuu wa nchi hiyo, Damascus, lakini zikakabiliwa na jibu kali la jeshi la nchi hiyo.

  • Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel

    Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel

    Dec 18, 2018 12:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel cha kuonesha majivuno na kusifia makombora mapya ya utawala huo wa Kizayuni.

  • Uingereza yailaumu Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Uingereza yailaumu Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Dec 16, 2018 04:12

    Msemaji wa serikali ya Uingereza ameilaumu Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi inazowapora Wapalestina.

  • Australia yafuata mkumbo, yaitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel

    Australia yafuata mkumbo, yaitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel

    Dec 15, 2018 03:23

    Australia imesema inautambua mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu kuwa eti ni mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.

  • Wazayuni wakiri: Jeshi la Israel halina ubavu wa kuingia katika vita vipya

    Wazayuni wakiri: Jeshi la Israel halina ubavu wa kuingia katika vita vipya

    Dec 14, 2018 23:10

    Afisa mmoja mwandamizi wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel haina uwezo wa kuingia kwenye vita vyengine vipya.

  • Trump kuwa mwenyeji wa Bin Salman na Netanyahu katika 'Camp David ya 2'

    Trump kuwa mwenyeji wa Bin Salman na Netanyahu katika 'Camp David ya 2'

    Dec 14, 2018 12:22

    Gazeti la Middle East Eye limeripoti kuwa, Mohammad Bin Salman Aal Saud, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia anatafakari sana juu ya kufanya mkutano na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu chini ya upatanishi na uenyeji wa Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Hamas yalipiza kisasi baada ya wanachama wake 2 kuuawa na jeshi la Israel

    Hamas yalipiza kisasi baada ya wanachama wake 2 kuuawa na jeshi la Israel

    Dec 13, 2018 10:24

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imewaangamiza Wazayuni wawili kwa kuwafyatulia risasi katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, chini ya masaa 24 baada ya jeshi katili la Israel kuwaua shahidi Wapalestina watatu, wakiwamo wanachama wawili wa harakati hiyo ya Muqawama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS