Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Maazimio 15 dhidi ya Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika kipindi cha wiki mbili

    Maazimio 15 dhidi ya Israel katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika kipindi cha wiki mbili

    Dec 02, 2018 04:07

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mnamo Novemba 30 lilipitisha maazimio 6 dhidi ya utawala wa Israel kwa lengo la kuunga mkono Palestine.

  • Hizbullah: Israel itajuta iwapo itaivamia tena Lebanon

    Hizbullah: Israel itajuta iwapo itaivamia tena Lebanon

    Dec 02, 2018 00:11

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeonesha mkanda wa video ikiutahadharisha utawala haramu wa Israel kwamba, utajuta iwapo utaivamia ardhi ya Lebanon.

  • HAMAS: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni jinai na uhaini

    HAMAS: Kuwa na uhusiano wa kawaida na Israel ni jinai na uhaini

    Dec 01, 2018 04:42

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa, hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kutaka kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel ni jinai.

  • UN yaitaka Israel iondoke kwenye Miinuko ya Golan ya Syria

    UN yaitaka Israel iondoke kwenye Miinuko ya Golan ya Syria

    Dec 01, 2018 04:35

    Kwa mara nyingine tena Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha kwa wingi wa kura azimio la kuutaka utawala ghasibu wa Israel kuondoka katika eneo la Miinuko ya Golan la Syria ambalo umelikalia kwa mabavu kwa karibu nusu karne sasa.

  • 'Bin Salman, El Sisi wanawashawishi viongozi wa nchi za Kiarabu waanzishe uhusiano na Israel'

    'Bin Salman, El Sisi wanawashawishi viongozi wa nchi za Kiarabu waanzishe uhusiano na Israel'

    Nov 30, 2018 23:10

    Gazeti la Al-Araby Al-Jadeed linalochapishwa nchini Uingereza limeripoti kuwa Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia Muhammad bin Salman na Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri wamekuwa wakiendesha kampeni ya pamoja ya kuwashawishi viongozi wa nchi zingine za Kiarabu waanzishe uhusiano wa karibu na Israel, huku wakiendelea kutatua tofauti za kisiasa na utawala huo haramu wa Kizayuni.

  • CNN yamfuta kazi mwandishi wake kwa kukosoa siasa za kikatili za Israel

    CNN yamfuta kazi mwandishi wake kwa kukosoa siasa za kikatili za Israel

    Nov 30, 2018 11:39

    Televisheni ya CNN ya Marekani imemfuta kazi mwandishi na mchambuzi wake kwa sababu ya kukosoa siasa za kikatili za utawala haramu wa Israel na kutoa wito wa kuundwa nchi huru ya Palestina.

  • Trump: Israel ni 'sababu moja' ya wanajeshi wa Marekani kuendelea kubaki Mashariki ya Kati

    Trump: Israel ni 'sababu moja' ya wanajeshi wa Marekani kuendelea kubaki Mashariki ya Kati

    Nov 28, 2018 23:36

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema vikosi vya jeshi la nchi hiyo vitaendelea kuwepo katika eneo la Mashariki kuhakikisha usalama wa muitifaki wake mkuu na wa karibu, Israel.

  • Uungaji mkono wa Facebook kwa siasa za kigaidi za Israel

    Uungaji mkono wa Facebook kwa siasa za kigaidi za Israel

    Nov 27, 2018 04:43

    Mtandao wa kijami wa Facebook umepiga marufuku kusambazwa picha za kikosi maalumu cha ugaidi cha utawala wa Kizayuni katika oparesheni iliyofanywa hivi karibuni huko Ukanda wa Ghaza.

  • Jeshi la Israel: Kuuawa Nasrullah kutatoa pigo kubwa kwa Hizbullah

    Jeshi la Israel: Kuuawa Nasrullah kutatoa pigo kubwa kwa Hizbullah

    Nov 27, 2018 04:12

    Kamanda wa ngazi za juu wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa mwito wa kuuawa Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah akisisitiza kuwa, kuuawa kwake kutatoa pigo kubwa kwa harakati hiyo ya muqawama.

  • Vitisho vya kigaidi vya Israel dhidi ya viongozi wa muqawama wa Palestina

    Vitisho vya kigaidi vya Israel dhidi ya viongozi wa muqawama wa Palestina

    Nov 23, 2018 12:26

    Yoav Galant, waziri wa nyumba na ujenzi wa vitongoji wa utawala wa Kizayuni ametishia kumuua kigaidi Yahya Sinwar mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) huko Ghaza. Naye Eli Cohen, waziri wa uchumi na viwanda wa utawala wa Kizayuni ametishia kuwaua kigaidi viongozi wote wa HAMAS na kuvunja nyumba zao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS