Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Kujiunga Wazungu na harakati ya kuisusia Israel; mabadiliko ya kweli au mashinikizo ya umma?

    Kujiunga Wazungu na harakati ya kuisusia Israel; mabadiliko ya kweli au mashinikizo ya umma?

    Nov 12, 2025 23:05

    Harakati ya kususia bidhaa za Israeli (BDS) inazidi kupata nguvu kote duniani, tena kwa kasi kubwa, na watu binafsi na taasisi mbalimbali kote ulimwenguni zinajiunga nayo kwa lengo la kuongeza mashinikizo kwa Israel. Katika uamuzi muhimu zaidi wa hivi karibuni, ni nchi ya Ulaya ya Uholanzi kutangaza kwamba inaandaa sheria ya kupiga marufuku kuingiza nchini humo bidhaa zinazozalishwa katika vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni huko Palestina.

  • Hatari ya ushawishi wa Israel barani Afrika; Tishio lililofichika kwa uhuru wa bara Afrika

    Hatari ya ushawishi wa Israel barani Afrika; Tishio lililofichika kwa uhuru wa bara Afrika

    Nov 10, 2025 09:35

    Katika juhudi zake za kuitoa Israel kwenye hali ya kutengwa, Isaac Herzog, rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel, anatarajiwa kuelekea barani Afrika.

  • New York Times: Katika vita vijavyo, Iran itarusha makombora 2,000 kwa wakati mmoja kuilenga Israel

    New York Times: Katika vita vijavyo, Iran itarusha makombora 2,000 kwa wakati mmoja kuilenga Israel

    Nov 10, 2025 02:49

    Gazeti la The New York Times la nchini Marekani limetahadharisha kwamba ikiwa Israel itaishambulia tena Iran, Tehran itajibu hujuma hiyo kwa nguvu zaidi, kwa kurusha makombora 2,000 kwa wakati mmoja kuulenga utawala huo wa kizayuni.

  • HAMAS: Lengo la safari ya rais wa Israel Afrika ni kubadilisha misimamo ya nchi zinazounga mkono Palestina

    HAMAS: Lengo la safari ya rais wa Israel Afrika ni kubadilisha misimamo ya nchi zinazounga mkono Palestina

    Nov 10, 2025 02:48

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imetangaza kuwa safari ya rais wa utawala ghasibu wa kizayuni katika nchi za Afrika ni jaribio la kutaka kubadilisha msimamo wa nchi hizo wa zinazopinga ukoloni na kuunga mkono haki za watu wa Palestina.

  • Katz amtusi vikali Erdogan baada ya mahakama ya Uturuki kutoa hati za kukamatwa viongozi 37 wa Israel

    Katz amtusi vikali Erdogan baada ya mahakama ya Uturuki kutoa hati za kukamatwa viongozi 37 wa Israel

    Nov 10, 2025 02:47

    Waziri wa vita wa utawala wa kizayuni wa Israel, Yisrael Katz amemshambulia kwa matusi makali Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan baada ya mahakama ya nchi hiyo kutoa hati za kukamatwa viongozi 37 wa utawala huo ghasibu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.

  • Palestina: Hati zilizotolewa na Uturuki za kukamatwa viongozi wa Israel ni 'ushindi kwa haki'

    Palestina: Hati zilizotolewa na Uturuki za kukamatwa viongozi wa Israel ni 'ushindi kwa haki'

    Nov 08, 2025 23:59

    Palestina imesifu na kupongeza hatua ya Uturuki ya kutoa hati za kukamatwa viongozi 37 wa utawala wa kizayuni wa Israel na kuielezea kuwa ni 'ushindi kwa haki' huku ikizitolea mwito nchi zingine kufuata mfano wa Ankara.

  • Iran yautaka Umoja wa Mataifa kurekodi kukiri Trump kuhusika Marekani katika uvamizi dhidi ya Iran

    Iran yautaka Umoja wa Mataifa kurekodi kukiri Trump kuhusika Marekani katika uvamizi dhidi ya Iran

    Nov 08, 2025 07:09

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaka taasisi hiyo ya kimataifa kusajili tamko la Trump la kukiri kuhusika moja kwa moja Marekani katika uchokozi na uvamizi wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Juni mwaka huu.

  • UN: Mashambulizi ya walowezi wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi yamefikia kiwango cha juu zaidi

    UN: Mashambulizi ya walowezi wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi yamefikia kiwango cha juu zaidi

    Nov 08, 2025 04:27

    Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba walowezi wa Israel wamefanya mashambulizi yasiyopungua 264 dhidi ya Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu mwezi uliopita wa Oktoba, ikiwa ni idadi kubwa zaidi ya kila mwezi tangu maafisa wa Umoja wa Mataifa walipoanza kufuatilia mashambulizi kama hayo mwaka 2006.

  • Kwa nini New Delhi imekhitari sera ya kuwa karibu zaidi na Tel Aviv?

    Kwa nini New Delhi imekhitari sera ya kuwa karibu zaidi na Tel Aviv?

    Nov 08, 2025 00:41

    India na utawala wa Kizayuni wa Israel zimeanzisha uhusiano mkubwa baina ya pande hizo mbili katika miaka ya hivi karibuni.

  • Iran, Mhimili wa Muqawama zalaani ushadidishaji 'hatari' wa mashambulio ya Israel ndani ya Lebanon

    Iran, Mhimili wa Muqawama zalaani ushadidishaji 'hatari' wa mashambulio ya Israel ndani ya Lebanon

    Nov 07, 2025 08:06

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani wimbi jipya la uchokozi wa kijeshi unaozidi kufanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon, na kuikumbusha jamii ya kimataifa na nchi za kikanda kuhusu wajibu wao wa kukabiliana na uchochezi wa vita wa Tel Aviv, kwa kuuwajibisha na kuuadhibu utawala huo ghasibu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS