-
Kupigwa marufuku adhana katika Msikiti wa al Aqsa, hatua mpya ya Israel katika fremu ya sera za Trump
Nov 15, 2016 04:09Katika fremu ya kudumisha sera za kuiyahudisha Quds tukufu na kufuta kabisa nembo na alama zote za Kiislamu katika ardhi ya Palestina, Baraza la Mawaziri la Israel limeafiki mpango wa kupiga marufuku adhana katika misikiti ya Quds ukiwemo Msikiti wa al Aqsa.
-
Netanyahu aunga mkono muswada wa kupiga marufuku adhana
Nov 14, 2016 00:37Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kwamba anaunga mkono kikamilifu muswada unaotaka kupigwa marufuku kusomwa adhana kwa vipaza sauti misikitini katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Donald Trump na Usalama wa Utawala haramu wa Israel
Nov 12, 2016 04:30Siku tatu baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais wa Marekani, kumetolewa kauli kadhaa kuhusu namna Trump anavyoutazama usalama wa Israel.
-
Walowezi wa Kizayuni washambulia tena Masjidul Aqsa
Nov 10, 2016 09:54Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wamekishambulia kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Israel yapiga marufuku adhana Ukingo wa Magharibi, Palestina
Nov 06, 2016 04:08Utawala wa Kizayuni wa Israel umepiga marufuku adhana katika misikiti mitatu magharibi mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, linalokaliwa kwa mabavu na utawala huo khabithi.
-
Maafisa wa Israel wafanya ziara ya siri huko Imarati
Nov 05, 2016 00:05Licha ya Umoja wa Falme za Kiarabu kutokuwa na uhusiano wa kidiplomasia wala kutoutambua utawala haramu wa Israel, lakini maafisa wa ngazi za juu wa utawala huo wa Kizayuni wamefanya safari ya siri mjini Dubai.
-
Mogherini: Ni haki ya watu wa Ulaya kuisusia Israel
Nov 04, 2016 00:19Mkuu wa Siasa za Nje za Umoja wa Ulaya amesema kuwa ni haki ya watu wa nchi za bara hilo kuisusia Israel.
-
Tangazo la Balfour, chanzo cha ukosefu wa amani Mashariki ya Kati
Nov 02, 2016 03:46Matatizo yote ya kiusalama yaliyopo hivi sasa katika eneo nyeti la Mashariki ya Kati yanatokana na tangazo la Balfour.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa mienendo hasi ya utawala haramu wa Israel
Oct 30, 2016 03:40Michael Lynk, Mwakilisi Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Haki za Binaadamu katika ardhi za Palestina, amesema kuwa Israel inazuia shughuli za makundi ya kutetea haki za binaadamu.
-
Israel imebomoa nyumba 780 za Wapalestina Ukingo wa Magharibi mwaka huu wa 2016
Oct 28, 2016 23:09Utawala haramu wa Israel umeharibu nyumba 780 za Wapalestina katika eneo unalolikalia kwa mabavu la Ukingo wa Magharibi wa mto Jordan tokea mwanzoni mwa mwaka huu wa 2016.