-
Trump: Israel iendeleze ujenzi wa vitongoji Palestina
May 04, 2016 09:56Donald Trump, mwanasiasa wa chama cha Republican anayewania kuteuliwa kugombea urais nchini Marekani kupitia chama hicho ameutaka utawala haramu wa Israel uendeleze ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Kamati ya kupambana na utesaji ya Umoja wa Mataifa kuwasaili maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel
May 03, 2016 23:34Kamati ya kupambana na utesaji ya Umoja wa Mataifa inatazamiwa kuwahoji maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na sera za utawala huo za kuwatesa wafungwa wa Kipalestina.
-
UN: Israel inaeneza uongo kuhusu Palestina
May 02, 2016 23:29Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ameulaumu utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kueneza uongo dhidi ya Wapalestina.
-
Maandalizi ya Israel ya kulidhibiti kikamilifu eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan la Palestina inayokaliwa kwa mabavu
May 02, 2016 02:54Duru za utawala wa Kizayuni wa Israel zimeripoti kuwa bunge la utawala huo Knesset linapanga kuptisha sheria mpya yenye lengo la kuliunganisha eneo la Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi nyengine za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Saudia kufungua ubalozi Israel
Apr 27, 2016 23:31Saudi Arabia imesema huenda ikafungua ubalozi wake Tel Aviv iwapo utawala haramu wa Israel utakubali kusitisha mgogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Israel inawapa mafunzo askari wa Saudia
Apr 26, 2016 09:52Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amefichua kuwa utawala haramu wa Israel unatoa mafunzo ya kijeshi kwa askari wa Saudi Arabia katika mpango wa siri wa uhusiano wa tawala hizo mbili.
-
Ripoti: Idadi ya wafungwa watoto wa Kipalestina katika jela za Israel yaongezeka
Apr 24, 2016 03:00Idadi ya watoto wadogo wa Kipalestina wanaozuiliwa katika jela za kutisha za utawala wa kizayuni wa Israel imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu Oktoba mwaka uliopita wa 2015.
-
Arab League: Kuundwe mahakama maalumu ya jinai za Israel
Apr 21, 2016 10:52Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imetoa mwito wa kuundwa mahakama maalumu ya jinai kwa ajili ya kuwapandisha kizimbani Wazayuni kutokana na hatua yao ya kukiuka haki za Wapalestina.
-
Merkel aikosoa Israel kwa kuendeleza ujenzi wa vitongoji
Apr 20, 2016 03:18Chansela wa Ujerumani amekosoa hatua ya utawala haramu wa Israel ya kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu na kusema kuwa ujenzi huo unazuia mchakato wa amani.
-
Ban asema Israel inavuruga mpango wa amani
Apr 19, 2016 10:57Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon amekosoa vikali hatua ya Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.