Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Kamanda wa Iran: Israel haina ubavu wa kuanzisha vita bila ya msaada wa Marekani na NATO

    Kamanda wa Iran: Israel haina ubavu wa kuanzisha vita bila ya msaada wa Marekani na NATO

    Sep 25, 2025 00:10

    Kamanda mwandamizi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, utawala wa kizayuni wa Israel hauna uwezo wa kupigana bila ya kusaidiwa na shirika la kijeshi la NATO na Marekani, jambo linalodhihirisha kuwa makabiliano yanayoweza kutokea ni ya mpambano dhidi ya "ubeberu wa kimataifa."

  • Marekani inatafakari kuiwekea vikwazo mahakama nzima ya ICC kwa kuchunguza jinai za Israel Ghaza

    Marekani inatafakari kuiwekea vikwazo mahakama nzima ya ICC kwa kuchunguza jinai za Israel Ghaza

    Sep 23, 2025 02:59

    Marekani inatafakari juu ya kuiwekea vikwazo vikali Mahakama nzima ya Kimataifa ya Jinai (ICC) mapema wiki hii, hatua ambayo inaweza kuvuruga sana shughuli za mahakama hiyo katika kuchunguza uhalifu wa kivita uliofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel huko Ghaza.

  • Serikali ya Israel yagawanyika kuhusu mjibizo wa kutoa kwa nchi za Magharibi zilizoitambua nchi ya Palestina

    Serikali ya Israel yagawanyika kuhusu mjibizo wa kutoa kwa nchi za Magharibi zilizoitambua nchi ya Palestina

    Sep 22, 2025 23:29

    Chaneli ya 12 ya televisheni ya utawala wa kizayuni wa Israel imeripoti kuwa, mizozo ndani ya baraza la mawaziri la utawala huo inazidi kuongezeka baada ya mawaziri muhimu kutojumuishwa katika mijadala nyeti kuhusu jinsi ya kutoa mjibizo dhidi ya hatua ya karibuni ya nchi za Magharibi ya kuitambua nchi ya Palestina.

  • Rais wa Baraza la EU: Lengo hasa la Israel ni kuufanya uundwaji wa nchi ya Palestina usiwezekane

    Rais wa Baraza la EU: Lengo hasa la Israel ni kuufanya uundwaji wa nchi ya Palestina usiwezekane

    Sep 22, 2025 23:27

    Rais wa Baraza la Ulaya Antonio Costa amesema hatua za kijeshi zinazochukuliwa na Israel huko Ghaza si suala tena la kujilinda na zinaonekana kuwa na lengo la kuufanya uundaji wa nchi ya Palestina hapo baadaye usiwezekane.

  • Kwa nini Tel Aviv inaogopa kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina?

    Kwa nini Tel Aviv inaogopa kutambuliwa rasmi nchi huru ya Palestina?

    Sep 22, 2025 07:50

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limejiweka kwenye hali ya tahadhari kukabiliana na matukio yanayoweza kutokea baada ya baadhi ya nchi za Magharibi kuitambua rasmi nchi huru ya Palestina.

  • Amnesty International imetaka Israel iwekewe vikwazo haraka iwezekanavyo

    Amnesty International imetaka Israel iwekewe vikwazo haraka iwezekanavyo

    Sep 21, 2025 07:33

    Shirika la Amnesty International limeitaka jamii ya kimataifa kuiwekea Israel vikwazo haraka iwezekanavyo kutokana na vita na mauaji ya kimbari yanayoendelea kutekelezwa na utawala huo katika Ukanda wa Gaza.

  • Je, Israel inakabiliwa na

    Je, Israel inakabiliwa na "Hatima ya Afrika Kusini"?

    Sep 21, 2025 02:33

    Tovuti ya Kiingereza ya BBC katikati ya Septemba 2025 katika makala ya kina yenye kichwa cha habari kilichosomeka "Je, Israel Inakabiliwa na 'Hatima ya Afrika Kusini'?" Ilizungumzia suala la kujikariri uzoefu wa Afrika Kusini kwa utawala ghasibu wa Israel.

  • Je, upo uwezekano wa kutokea vita kati ya Uturuki na utawala wa Kizayuni?

    Je, upo uwezekano wa kutokea vita kati ya Uturuki na utawala wa Kizayuni?

    Sep 20, 2025 06:19

    Mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Qatar yamezidisha mivutano kati ya Uturuki na Israel na kuibua uwezekano wa kutokea makabiliano ya moja kwa moja kati ya Ankara na Tel Aviv.

  • Baada ya kuangamizwa askari 6 wa kizayuni, HAMAS yaionya Israel: Ghaza itageuka 'kaburi' la askari wenu

    Baada ya kuangamizwa askari 6 wa kizayuni, HAMAS yaionya Israel: Ghaza itageuka 'kaburi' la askari wenu

    Sep 19, 2025 07:38

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala wa kizayuni wa Israel kwamba hatua yake ya kuzidi kujiingiza ndani ya Mji wa Ghaza kutaugeuza mji huo kuwa "kaburi," la wanajeshi wa kizayuni baada ya sita miongoni mwao kuangamizwa na wanamuqawama wa Palestina katika matukio tofauti wakati wa jeshi la Israel likiwa linaendeleza mashambulizi makali na ya kinyama yanayolenga kulikalia kwa mabavu eneo lote la Ghaza.

  • UNIFIL yaitaka Israel ikomeshe mashambulizi, iondoke kikamilifu katika ardhi ya Lebanon

    UNIFIL yaitaka Israel ikomeshe mashambulizi, iondoke kikamilifu katika ardhi ya Lebanon

    Sep 19, 2025 07:34

    Vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kusini mwa Lebanon, UNIFIL imesema, shambulio la anga lililofanywa na jeshi la Israel jana usiku kusini mwa Lebanon ni ukiukaji wa wazi wa azimio nambari 1701 la Baraza la Usalama na tishio la moja kwa moja kwa hali tete ya uthabiti katika eneo hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS