Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Israel yaifanya Gaza kuwa mahali hatari zaidi duniani kwa wanahabari

    Israel yaifanya Gaza kuwa mahali hatari zaidi duniani kwa wanahabari

    May 04, 2026 09:49

    Ofisi ya Haki za Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu imetangaza Jumapili kuwa Gaza imegeuka kuwa sehemu hatari kuliko zote duniani kwa wanahabari, huku angalau wafanyakazi 295 wa vyombo vya habari wakithibitishwa kuuawa katika mashambulizi ya Israel tangu kuanza kwa vita Oktoba 2023.

  • IRGC: Utekaji wa wanaharakati wa msafara wa misaada Gaza ni ‘ugaidi wa kimataifa’

    IRGC: Utekaji wa wanaharakati wa msafara wa misaada Gaza ni ‘ugaidi wa kimataifa’

    May 03, 2026 10:23

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) la Iran amelaani vikali hatua ya vikosi vya jeshi la utawala haramu wa Israel kuzuia kwa nguvu meli za Msafara wa Global Sumud zilizokuwa zikipeleka misaada ya kibinadamu Gaza.

  • Shambulio la Utawala wa Kizayuni Dhidi ya Msafara wa Meli wa Sumud; Mijibizo, Jumbe na Matokeo Yake

    Shambulio la Utawala wa Kizayuni Dhidi ya Msafara wa Meli wa Sumud; Mijibizo, Jumbe na Matokeo Yake

    May 02, 2026 17:01

    Wanajeshi wa Kizayuni kwa mara nyingine tena wameushambulia msafara wa Sumud wa meli za kimataifa na kuzuia kupelekwa misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza uliowekewa mzingiro na utawala wa kizayuni wa Israel.

  • Viongozi wa Kikristo wamlaani Muisraeli aliyemshambulia mtawa wa kike katika mji wa al-Quds

    Viongozi wa Kikristo wamlaani Muisraeli aliyemshambulia mtawa wa kike katika mji wa al-Quds

    May 02, 2026 11:24

    Malalamiko yameendelea kumiminika baada ya Muisraeli mwenye misimamo mikali kumshambulia mtawa wa kike raia wa Kifaransa, huku Waisraeli Wazayuni wakishadidisha mashambulizi dhidi ya Waislamu na Wakristo pamoja na maeneo matakatifu katika ardhi za Palestina zinazokoloniwa na utawala wa Israel.

  • Israel yapewa kichapo Lebanon, wanajeshi wasiopungua 2 wauawa

    Israel yapewa kichapo Lebanon, wanajeshi wasiopungua 2 wauawa

    May 02, 2026 07:19

    Wanajeshi wasiopungua wawili wa Israel wameuawa na wengine zaidi ya 27 kujeruhiwa katika mashambulizi kadhaa ya ndege zisizo na rubani za harakati ya Hizbullah kusini mwa Lebanon, huku Israel ikiitonya Washington kwamba uwezo wake wa kukabiliana na harakati ya mapambano ya Lebanon unakaribia kusambaratika.

  • Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jina la Netanyahu ni

    Vyombo vya habari vya Kizayuni: Jina la Netanyahu ni "Shetani" kwa wengi duniani

    Apr 30, 2026 10:14

    Chombo cha habari cha Kizayuni kimechambua kuporomoka kwa nafasi ya utawala wa Israel duniani na kubadilika fikra za umma kuhusu utawala huo.

  • Afisa wa Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi ukombozi kamili wa ardhi ya Lebanon

    Afisa wa Hizbullah: Mapambano yataendelea hadi ukombozi kamili wa ardhi ya Lebanon

    Apr 30, 2026 07:42

    Makamu wa Mwenyekiti wa Baraza la Kisiasa la harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesisitiza msimamo wa msingi wa harakati hiyo kuhusu uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa Muqawama na mapambano yataendelea hadi ardhi yote ya nchi hiyo itakapokombolewa kikamilifu.

  • Kwa Nini Chuki Dhidi ya Israel Zinaendelea Kuongezeka Ndani ya Marekani?

    Kwa Nini Chuki Dhidi ya Israel Zinaendelea Kuongezeka Ndani ya Marekani?

    Apr 26, 2026 08:52

    Chama cha Democrat nchini Marekani hivi sasa kinazihama enzi za uungaji mkono wake wa jadi kwa utawala bandia wa Israel na kuhamia kwenye zama za kupingana vikali na utawala huo.

  • Hamas: Uhalifu Mpya Kaskazini mwa Gaza Unaonyesha Kutokuwa na Uwezo wa Bodi ya Amani

    Hamas: Uhalifu Mpya Kaskazini mwa Gaza Unaonyesha Kutokuwa na Uwezo wa Bodi ya Amani

    Apr 25, 2026 04:52

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kwamba mauaji ya kutisha yaliyofanywa na jeshi utawala vamizi la Israel huko kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, ambayo yamewalenga moja kwa moja watoto, ni kielelezo kipya cha kuendelea vita vya mauaji ya kimbari na maangamizi ya kizazi katika maeneo mbalimbali ya Ukanda huo.

  • Israel na Somaliland: Njama ya kudhibiti Bab al Mandeb

    Israel na Somaliland: Njama ya kudhibiti Bab al Mandeb

    Apr 23, 2026 09:59

    Tarehe 26 Desemba, 2025, Israel ililitambua eneo lililotangaza kujitenga na Somalia la Somaliland kama taifa huru; licha ya kwamba, katika upeo wa kimataifa, eneo hilo inaendelea kutambuliwa kuwa sehemu ya Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS