Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Baqaei: Iran Iko tayari kujilinda mkabala wa vitisho vya adui

    Baqaei: Iran Iko tayari kujilinda mkabala wa vitisho vya adui

    Apr 23, 2026 09:55

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza utayari wa Tehran kujilinda dhidi ya mashambulizi na vitisho vya aina yoyote vya adui.

  • Somalia yazuia meli za Israel kupita Bab al-Mandab

    Somalia yazuia meli za Israel kupita Bab al-Mandab

    Apr 23, 2026 09:47

    Somalia imepiga marufuku meli za utawala wa Israel kupita katika mlango‑bahari wa kimkakati wa Bab al‑Mandab kama jibu kwa hatua ya utawala huo ya kulitambua rasmi eneo lililotangaza kujitenga na Somalia la “Somaliland”.

  • Sababu za Kuzidi Kuporomoka Umaarufu wa Israel Mbele ya Wamarekani

    Sababu za Kuzidi Kuporomoka Umaarufu wa Israel Mbele ya Wamarekani

    Apr 22, 2026 04:55

    Uchunguzi uliofanywa hivi karibuni na Kituo cha Utafiti wa Maoni ya Umma cha Pew, yanaonyesha kuwa umaarufu wa Israel mbele ya tabaka la vijana wa chama cha Democrat nchini Marekani umepungua kwa asilimia 31 na mbele ya vijana wa Republican kwa asilimia 22 kulinganisha na ilivyokuwa miaka minne iliyopita.

  • Ansarullah Yemen: Lobi ya Wazayuni imezuia makubaliano kati ya Marekani na Iran

    Ansarullah Yemen: Lobi ya Wazayuni imezuia makubaliano kati ya Marekani na Iran

    Apr 12, 2026 09:15

    Mjumbe wa Idara ya Siasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa lobi ya utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Marekani imezuia kufikiwa makubaliano katika mazungumzo kati ya Marekani na Iran.

  • Umeme wakatwa kaskazini mwa Tel Aviv kufuatia mashambulizi ya makombora ya Iran

    Umeme wakatwa kaskazini mwa Tel Aviv kufuatia mashambulizi ya makombora ya Iran

    Mar 25, 2026 07:39

    Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeripoti kuwa huduma ya umeme imekatwa katika moja ya miji ya kistratejia ya kaskazini mwa Israel kufuatia mashambulizi ya makombora ya Iran.

  • Msemaji wa al Qassam asema Iran ni safu ya mbele ya kutetea Umma wa Kiislamu

    Msemaji wa al Qassam asema Iran ni safu ya mbele ya kutetea Umma wa Kiislamu

    Mar 22, 2026 03:48

    Msemaji wa tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amepongeza mashambulizi ya makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya maeneo mbalimbali ya utawala ghasibu wa Israel.

  • "Israel inadanganya, Iran haitutishii": Afisa wa ujasusi aliyeteuliwa na Trump ajiuzulu kwa sababu ya vita na Iran

    Mar 18, 2026 04:57

    Mkuu wa Kituo cha Kitaifa cha Kupambana na Ugaidi nchini Marekani amejiuzulu baada ya kufichua yanayojiri nyuma ya pazia kuhusu vita vya nchi hiyo na Israel dhidi ya Iran.

  • Araqchi amwambia Guterres: Simamisheni uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran

    Araqchi amwambia Guterres: Simamisheni uchokozi wa Marekani na Israel dhidi ya Iran

    Mar 17, 2026 08:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Matatizo ya usafirishaji wa meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz ni matokeo ya vita vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel, na kila nchi au shirika la kimataifa linalojali amani na usalama lazima lilaani uhalifu wa tawala hizo mbili na kutoa wito wa kukomeshwa uchokozi wao wa kijeshi dhidi ya taifa la Iran."

  • Araqchi: Vita vitaisha kwa njia itakayomfanya adui asifikirie tena kutushambulia

    Araqchi: Vita vitaisha kwa njia itakayomfanya adui asifikirie tena kutushambulia

    Mar 17, 2026 07:01

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haijatuma ujumbe wa aina yoyote kwa wavamizi wala haijaomba kusitishwa vita.

  • Rais wa Iran amwambia Macron: US, Israel ndio mzizi wa ukosefu wa usalama katika eneo

    Rais wa Iran amwambia Macron: US, Israel ndio mzizi wa ukosefu wa usalama katika eneo

    Mar 16, 2026 06:04

    Rais wa Iran amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo chimbuko la ukosefu wa usalama na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi, akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitasita kukabiliana na wavamizi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS