Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Israel

  • Jen. Mousavi: Iran imeivurumishia Israel makombora 30 ya balestiki

    Jen. Mousavi: Iran imeivurumishia Israel makombora 30 ya balestiki

    Mar 14, 2026 03:48

    Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC amesema asilimia kubwa ya makombora 30 ya balestiki yaliyovumishwa na Jamhuri ya Kiislamu usiku wa Lailatul Qadr yalipiga shabaha zilizokusudiwa kwa usahihi mkubwa.

  • Wataalamu wa haki wa UN walaani mashambulizi ya US, Israel dhidi ya Iran

    Wataalamu wa haki wa UN walaani mashambulizi ya US, Israel dhidi ya Iran

    Mar 14, 2026 03:29

    Kundi moja la wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa limelaani vikali mashambulizi na jinai zinazofanywa na Marekani na Israel dhidi ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Lebanon.

  • Russia: Iran ina haki ya kujitetea mbele ya mashambulizi ya Marekani, Israel

    Russia: Iran ina haki ya kujitetea mbele ya mashambulizi ya Marekani, Israel

    Mar 13, 2026 04:06

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina haki ya kujitetea na kukabiliana na hujuma za Marekani na Israel na ametoa wito wa kusitishwa mashambulizi ya Marekani na Israel na kurejea kwenye meza ya mazungumzo.

  • Waisraeli 2,700 wajeruhiwa katika mashambulizi ya kisasi ya Iran

    Waisraeli 2,700 wajeruhiwa katika mashambulizi ya kisasi ya Iran

    Mar 13, 2026 03:13

    Ripoti ya Wizara ya Afya ya utawala wa Kizayuni wa Israel imesema Waisraeli zaidi ya 2,700 wamejeruhiwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaliyoanza Februari 28.

  • Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia?

    Nini maana ya Marekani kushindwa kistratejia?

    Mar 09, 2026 09:02

    Kwa nini Marekani inakaribia kushindwa kistratejia? Jibu la swali hili linapatika katika utambulisho wa vita vya sasa vilivyoanzishwa na Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Njama ya 'genge la Netanyahu' ya kushambulia Masjidul Aqsa kwa makombora yatibuka

    Njama ya 'genge la Netanyahu' ya kushambulia Masjidul Aqsa kwa makombora yatibuka

    Mar 07, 2026 05:59

    Wizara ya Intelijensia ya Iran imefichua njama chafu iliyokuwa ikipikwa na genge la Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ya kushambulia kwa makombora Msikiti wa al-Aqsa ili kuibua fitna katika ulimwengu wa Kiislamu.

  • Msemaji wa IRGC: Silaha mpya za Iran za kukabiliana na uchokozi wa adui Marekani na mzayuni ziko njiani

    Msemaji wa IRGC: Silaha mpya za Iran za kukabiliana na uchokozi wa adui Marekani na mzayuni ziko njiani

    Mar 06, 2026 09:06

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, IRGC ametangaza kuwa mbinu mpya na silaha mpya ziko njiani kuzinduliwa kwa ajili ya kukabiliana na uchokozi wa kijeshi ulioanzishwa na Marekani na utawala wa kizayuni.

  • Hizbullah yawataka walowezi wa Kizayuni kuondoka karibu na mpaka wa Lebanon

    Hizbullah yawataka walowezi wa Kizayuni kuondoka karibu na mpaka wa Lebanon

    Mar 06, 2026 04:40

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imewataka walowezi wa vitongoji haramu katika mpaka wa pamoja wa Lebanon na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na kupachikwa jina bandia la Israel kuondoka katika eneo hilo mara moja.

  • IRGC: Hakuna jinai na mauaji ya kidhulma yanayofanywa na US na wazayuni yatayopita bila ya jibu

    IRGC: Hakuna jinai na mauaji ya kidhulma yanayofanywa na US na wazayuni yatayopita bila ya jibu

    Mar 03, 2026 15:49

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesisitiza kuwa, wahalifu wa Kimarekani na Kizayuni wajue kwamba hakuna hata moja kati ya jinai na mauaji ya kidhulma wanayofanya yatakayopita bila ya jibu.

  • UN yataka ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu wasichana wadogo 167 waliouliwa na US/Israel

    UN yataka ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu wasichana wadogo 167 waliouliwa na US/Israel

    Mar 03, 2026 15:06

    Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametaka ufanyike uchunguzi wa haraka kuhusu shambulio lililolenga skuli ya msingi ya wasichana katika mji wa Minab kusini mwa Iran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS