• Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Nchi za Kiarabu zinapaswa kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Nchi za Kiarabu zinapaswa kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni

    Nov 10, 2023 08:07

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesisitiza ulazima wa serikali za nchi za Kiarabu kujibu ipasavyo matukio yanayojiri Ukanda wa Gaza na kusema: Jambo dogo kabisa linalotarajiwa kutoka kwa serikali za nchi za Kiarabu ni kukata uhusiano na utawala ghasibu wa Israel.

  • Palestina yaishtaki Israel IAEA kwa kutishia kudondosha bomu la nyuklia Gaza

    Palestina yaishtaki Israel IAEA kwa kutishia kudondosha bomu la nyuklia Gaza

    Nov 09, 2023 23:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Palestina amewasilisha faili mbele ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kulalamikia matamshi ya vitisho ya waziri wa utawala wa Kizayuni kwamba ikilazimu, utawala huo haramu utatumia bomu la nyuklia dhidi ya watu wa Gaza.

  • Malema aitaka ICC imtie mbaroni Netanyahu kwa mauaji ya Gaza

    Malema aitaka ICC imtie mbaroni Netanyahu kwa mauaji ya Gaza

    Nov 09, 2023 23:23

    Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Afrika Kusini ametoa mwito kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mashambulizi ya kinyama yanayoandelea kufanywa na utawala huo pandikizi katika Ukanda wa Gaza.

  • Misri yapinga mpango wa kuindoa Hamas mamlakani Gaza

    Misri yapinga mpango wa kuindoa Hamas mamlakani Gaza

    Nov 09, 2023 10:02

    Serikali ya Misri imeripotiwa kukataa pendekezo la Marekani la kutwaa kwa muda mamlaka katika Ukanda wa Gaza, ikisisitiza kuwa Cairo haitakuwa na nafasi yoyote katika kuondolewa madarakani Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika eneo hilo lililozingirwa.

  • Kupunguzwa uhusiano wa kidiplomasia wa Afrika Kusini na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kupunguzwa uhusiano wa kidiplomasia wa Afrika Kusini na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Nov 08, 2023 03:51

    Afrika Kusini imetangaza kuwa itawarejesha nyumbani wanadiplomasia wake wote kutoka Israel. Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na kuendelea mashambulizi na jinai za Israel dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.

  • IRGC: Kushindwa Israel kutaleta amani na usalama duniani

    IRGC: Kushindwa Israel kutaleta amani na usalama duniani

    Nov 08, 2023 02:54

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) sambamba na kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza amesema kuwa, kushindwa utawala wa Kizayuni na kuporomoka kwa Marekani, ni chanzo cha kupatikana amani na usalama duniani.

  • Bunge la Bahrain lataka kuangaliwa upya uhusiano wa nchi hiyo na Israel

    Bunge la Bahrain lataka kuangaliwa upya uhusiano wa nchi hiyo na Israel

    Nov 07, 2023 23:29

    Naibu Spika wa Bunge la Kitaifa la Bahrain amesema Wabunge wa nchi hiyo wanakishinikiza chombo hicho cha kutunga sheria kubatilisha uhusiano wa kawaida baina ya nchi hiyo ya Kiarabu ya Ghuba ya Uajemi na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Marekani na kukana mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza

    Marekani na kukana mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza

    Nov 07, 2023 23:11

    Zaidi ya mwezi mmoja umepita sasa tangu kuanza kwa vita vya Gaza na tangu kutekelezwa kwa operesheni ya "Kimbunga cha Al-Aqsa" huku utawala wa Kizayuni unaoendesha operesheni za ardhini katika Ukanda wa Gaza dhidi ya wapiganaji wa Hamas ukizidisha mashambulizi yake ya anga dhidi ya eneo hilo. Mashambulio hayo ya kinyama ya Israe; yameendelea kusababisha mauaji makubwa ya watu wanaodhulumiwa wa Ukanda wa Gaza.

  • Kuongezeka  upinzani dhidi ya vitendo vya kijinai vya utawala wa Kizayuni katika nchi za Magharibi

    Kuongezeka upinzani dhidi ya vitendo vya kijinai vya utawala wa Kizayuni katika nchi za Magharibi

    Nov 06, 2023 23:01

    Mwezi mmoja ukiwa umepita tangu kujiri operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa na utawala wa Kizayuni kuanzisha mashambulizi makali ya mabomu ambayo hajawahi kushuhudiwa tena huko Ghaza, ambayo yamepelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya maelfu ya Wapalestina, wengi wao wakiwa ni watoto na wanawake, mwenendo wa upinzani dhidi ya vitendo hivyo vya jinai vya Israeli, umeongezeka sana duniani ikiwa ni pamoja na nchini Marekani, ambayo ni mwitifaki mkubwa wa Tel Aviv.

  • Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Ujerumani, Italia

    Maandamano ya kuwaunga mkono Wapalestina yafanyika Ujerumani, Italia

    Nov 05, 2023 10:11

    Maelfu ya watu wamejitokeza mabarabarani katika mji mkuu wa Ujerumani, Berlin kushiriki maandamano ya kulaani jinai zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina, huku idadi ya Wapalestina waliouawa shahidi hadi sasa katika mashambulizi dhidi ya Ukanda wa Gaza ikipindukia 10,000.