Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Javad Zarif

  • Zarif: Nchi za Ulaya ziache kukiuka JCPOA na zisitishe sera haribifu katika eneo

    Zarif: Nchi za Ulaya ziache kukiuka JCPOA na zisitishe sera haribifu katika eneo

    Dec 05, 2020 04:37

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Jawad Zarif amemjibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas ambaye ametaka mapatano ya nyuklia ya JCPOA yajadiliwe upya.

  • Hotuba ya Zarif kwa mnasaba wa miaka 75 ya kuasisiwa UN; kubainisha wasiwasi na matumaini

    Hotuba ya Zarif kwa mnasaba wa miaka 75 ya kuasisiwa UN; kubainisha wasiwasi na matumaini

    Oct 28, 2020 04:21

    Umoja wa Mataifa uliasisiwa miaka 75 iliyopita ukiwa na malengo mawili. Mosi kulinda na kuimarisha amani duniani.

  • Zarif: Njama za Marekani za kuwaua Wairani kwa njaa ni jinai dhidi ya binadamu

    Zarif: Njama za Marekani za kuwaua Wairani kwa njaa ni jinai dhidi ya binadamu

    Oct 09, 2020 07:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuiwekea Jamhuri ya Kiislamu vikwazo vipya vya kibenki na kusisitiza kuwa, taifa hili bila shaka litavuka salama udhalimu na ukatili huu mpya wa Washington.

  • Zarif: Trump anawatumia watawala vibaraka wa Kiarabu kama chombo cha kampeni

    Zarif: Trump anawatumia watawala vibaraka wa Kiarabu kama chombo cha kampeni

    Sep 15, 2020 08:12

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jitihada zinazofanywa na Rais Donald Trump wa Marekani za kuanzisha uhusiano wa kawaida baina ya utawala haramu wa Israel na nchi kadhaa za Kiarabu zinaashiria wazi kuwa mwanasiasa huyo wa chama cha Republican anataka kutumia hatua hiyo kama wenzo wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Novemba mwaka huu.

  • Zarif amhutubu Trump: Hakuna vita vibaya na vita vizuri

    Zarif amhutubu Trump: Hakuna vita vibaya na vita vizuri

    Sep 11, 2020 08:12

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemhutubu Rais Donald Trump wa Marekani na kumwambia kwamba, hakuna kitu kinachofahamika kama vita vizuri, na kusisitiza kuwa vita vyote ni vibaya.

  • Zarif aipa Marekani somo la sheria baaada ya kubwagwa mara 3 katika UNSC

    Zarif aipa Marekani somo la sheria baaada ya kubwagwa mara 3 katika UNSC

    Aug 29, 2020 07:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kushangazwa kwake na kitendo cha Marekani cha kutishia tena kumwekea vikwazo mtu au taasisi yoyote inayoshirikiana na Iran, licha ya kupigwa mweleka mara tatu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Zarif aushangaa uchu wa Pompeo wa kurundika silaha za US Asia Magharibi

    Zarif aushangaa uchu wa Pompeo wa kurundika silaha za US Asia Magharibi

    Aug 25, 2020 08:06

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkosoa vikali Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kwa kuvunja sheria za nchi hiyo ili kukidhi uchu wake wa kutaka kuuza silaha za kijeshi kwa wingi katika nchi za eneo la Asia Magharibi.

  • Zarif: Safari ya Mkuu wa IAEA Iran haina uhusiano na 'Snapback Mechanism'

    Zarif: Safari ya Mkuu wa IAEA Iran haina uhusiano na 'Snapback Mechanism'

    Aug 24, 2020 11:59

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema safari ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), Rafael Grossi‎ hapa nchini haina mfungamano wowote na utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran unaofahamika kama 'Snapback Mechanism'.

  • Zarif: Iran na Iraq zinapaswa kuwa macho na tayari kukabiliana na ugaidi

    Zarif: Iran na Iraq zinapaswa kuwa macho na tayari kukabiliana na ugaidi

    Jul 19, 2020 11:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Iraq daima zinapaswa kuwa macho na tayari kwa ajili ya kukabiliana na njama za magenge ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS) katika eneo hili la Asia Magharibi.

  • Zarif: Iran haitalipa taifa lolote hata shibri moja ya ardhi yake

    Zarif: Iran haitalipa taifa lolote hata shibri moja ya ardhi yake

    Jul 17, 2020 08:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria juu ya makubaliano ya miaka 25 ya ushirikiano kati ya Iran na China na kusisitiza kuwa, katu Jamhuri ya Kiislamu haitapeana hata shibri moja ya ardhi yake au kuipa nchi yoyote ile ikiwemo China, haki maalumu ya kutumia maeneo yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS