Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Javad Zarif

  • Zarif: Mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Srebrenica yalitokana na Ulaya kufeli kutekeleza wajibu wake

    Zarif: Mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Srebrenica yalitokana na Ulaya kufeli kutekeleza wajibu wake

    Jul 12, 2020 03:37

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mauaji ya kimbari ya maelfu ya Waislamu wa Srebrenica yalifanyika kutokana na Ulaya kufeli kutekeleza majukumu yake ya msingi.

  • Zarif: Marekani haiheshimu haki yoyote ya binadamu

    Zarif: Marekani haiheshimu haki yoyote ya binadamu

    Jun 28, 2020 07:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imeshindwa kuheshimu haki zozote za msingi za binadamu, na imefanya hivyo kuanzia kuupa utawala wa Iraq silaha za kemikali dhidi ya Iran hadi kuliwekea vikwazo na kulifanyia ugaidi wa kiuchumi taifa la Iran.

  • Waziri Zarif aelekea Russia baada ya kuitembelea Uturuki

    Waziri Zarif aelekea Russia baada ya kuitembelea Uturuki

    Jun 16, 2020 08:03

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameelekea Moscow, mji mkuu wa Russia katika ziara rasmi ya kikazi baada ya kuitembelea Uturuki na kukutana na viongozi wa ngazi za juu wa nchi hiyo.

  • Zarif asema uhusiano wa Iran na Uturuki katika nyuga tofauti ni wa karibu sana

    Zarif asema uhusiano wa Iran na Uturuki katika nyuga tofauti ni wa karibu sana

    Jun 15, 2020 07:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu na Uturuki zina uhusiano mzuri wa na karibu sana katika nyuga mbali mbali.

  • "Iran ipo tayari kuzipa nchi za Afrika uzoefu wake wa kukabiliana na corona"

    May 26, 2020 02:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyapa mataifa ya Afrika uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa COVID-19 (Corona).

  • Iran yalaani chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi, yamuita balozi wa Uswisi

    Iran yalaani chokochoko za Marekani Ghuba ya Uajemi, yamuita balozi wa Uswisi

    Apr 24, 2020 02:45

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali chokochoko za jeshi la Marekani dhidi ya wanajeshi wa baharini wa Iran katika Ghuba ya Uajemi, sambamba na kukosoa bwabwaja na vitisho vya Rais Donald Trump dhidi ya askari hao wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH).

  • Zarif: Iran inashirikiana na UN kuhitimisha matatizo ya Wayemen

    Zarif: Iran inashirikiana na UN kuhitimisha matatizo ya Wayemen

    Apr 21, 2020 07:59

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii inashirikiana na Umoja wa Mataifa katika jitihada za kuhakikisha kuwa matatizo na changamoto zinazowakabili wananchi wa Yemen zinafikia tamati.

  • Waziri Zarif: Pompeo ni Waziri wa Chuki wa Marekani

    Waziri Zarif: Pompeo ni Waziri wa Chuki wa Marekani

    Mar 26, 2020 11:08

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali mienendo ya mwenzake wa Marekani, Mike Pompeo ya kueneza chuki, uhasama na propaganda dhidi ya Iran na kumtaja waziri huyo wa utawala wa Donald Trump kama Waziri wa Chuki.

  • Zarif azungumza na mawaziri wenzake wa Kenya na Nigeria kuhusu Corona

    Zarif azungumza na mawaziri wenzake wa Kenya na Nigeria kuhusu Corona

    Mar 20, 2020 12:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa njia ya simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Kenya, Nigeria na Bulgaria juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Corona unaoendelea kuzisumbua nchi mbali mbali duniani.

  • Zarif aitaka EU ipuuze vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya Iran

    Zarif aitaka EU ipuuze vikwazo haramu vya Marekani dhidi ya Iran

    Mar 17, 2020 08:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaka Umoja wa Ulaya uache kuifuata kibubusa Marekani katika kuliwekea taifa hili vikwazo vya upande mmoja, haramu na visivyo vya kisheria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS