-
Araghchi: Iran, US zitafanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja Oman
Apr 08, 2025 06:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu na Marekani zitafanya "mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya ngazi ya juu" nchini Oman karibuni hivi.
-
Russia yataka kuhuishwa makubaliano ya JCPOA
Mar 14, 2025 02:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergei Lavrov amesisitiza uungaji mkono wa Moscow kwa kufufuliwa mkataba wa kihistoria uliotiwa saini na Iran na mataifa mengine sita yenye nguvu duniani mwaka 2015.
-
Pezeshkian: Iran haijapokea ujumbe wowote kutoka Marekani
Jan 29, 2025 11:10Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu haijapokea ujumbe wowote kutoka Washington hadi sasa.
-
Akthari ya wananchi wa Marekani wanataka nchi yao irejee katika mapatano ya JCPOA
Sep 24, 2024 02:19Watu wengi nchini Marekani wanataka Washington irudi katika Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA). Hii ni kwa mujibu wa uchunguzi wa maoni uliofanyika huko Marekani.
-
Kan'ani: Kubadilika kwa watu na serikali huko Marekani si muhimu kwa Iran
Jul 23, 2024 02:26Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema mabadiliko ya serikali huko Marekani si muhimu na hayana taathira yoyote katika sera za kigeni za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Blinken: Kujiondoa JCPOA ni katika makosa makubwa ya Marekani
Jul 21, 2024 06:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekiri bayana kuwa, hatua ya nchi hiyo ya kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni moja ya makosa makubwa zaidi yaliyowahi kufanywa na Washington katika miaka ya hivi karibuni.
-
Iran, China na Russia zazitaka nchi za Magharibi zianze tena kutekeleza makubaliano ya nyuklia
Jun 05, 2024 07:28Iran, China na Russia zimesisitiza kuwa, vifungu vya mkataba wa nyuklia wa JCPOA vingali vina itibari na kuzishauri nchi za Magharibi ambazo zimekwamisha utekelezaji wa mapatano hayo kwa kutochukua hatua na kukhalifu kutekeleza ahadi na majukumu yao, zionyeshe utashi wa kisiasa na kuchukua hatua zinazohitajika ili kuanza kutekeleza tena makubaliano hayo.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA: Iran haina silaha za nyuklia
Mar 31, 2024 11:23Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) ametenganisha baina ya kategoria ya kurutubisha madini ya urani na mchakato wa uundaji silaha za nyuklia na kutangaza kuwa Iran haitengenezi silaha za nyuklia licha ya kuwa na akiba ya urani iliyorutubishwa.
-
Russia: Makubaliano ya JCPOA hayana mbadala wake
Feb 20, 2024 12:53Balozi na Mwakilishi wa Russia katika taasisi za kimataifa zenye makao huko Vienna nchini Austria amesema njia pekee ya kuyahuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni kuyarejesha katika hali yake ya asili.
-
Guterres: US iifutie Iran vikwazo ili JCPOA iendelee kutekelezwa
Dec 20, 2023 03:05Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameitaka Marekani iiondolee vikwazo sekta ya mafuta ya Iran ili makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ambayo Washington ilijiondoa kwayo Mei mwaka 2019 yaendelee kutekelezwa.