-
Russia yataka kurejea Marekani na Troika ya Ulaya kwenye makubaliano ya nyuklia na Iran
Nov 24, 2023 07:21Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika taasisi za kimataifa ameeleza kuwa, Moscow inazitaka Marekani na kundi la Troika ya Ulaya zirejee katika Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran.
-
Raisi: Iran haina mpango wa kumiliki silaha za nyuklia
Sep 25, 2023 03:12Rais wa Iran amepuuzilia mbali madai ya madola ya Magharibi kwamba Jamhuri ya Kiislamu inataka kuunda silaha za nyuklia.
-
Uvunjaji ahadi mwingine wa Troika ya Ulaya kuhusu mapatano ya JCPOA
Sep 17, 2023 02:25Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya Umoja wa Ulaya Alhamisi usiku, Josep Burrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya alitangaza kuwa nchi tatu za Ulaya, ambazo ni Uingereza, Ufaransa na Ujerumani, zimemwandikia barua zikitangaza kwamba hazitaondoa vikwazo vya makombora dhidi ya Iran, ambavyo muda wake umepangwa kumalizika tarehe 18 Oktoba 2023.
-
Russia: Marekani ndiyo ya kulaumiwa kwa kutotekelezwa JCPOA
Aug 09, 2023 11:26Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema mustakabali wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA upo mikononi mwa Marekani na nchi za Ulaya, huku akitilia shaka azma ya Wamagharibi ya kuyahuisha mapatano hayo kikamilifu.
-
Amir Abdollahian: Tumepokea mapendekezo ya Oman ili kurejesha pande zote katika JCPOA
Jul 20, 2023 11:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu mazungumzo yake na mwenzake wa Oman kwamba: Muscat inafanya juhudi za kukurubisha mitazamo ili pande zote husika zirejee katika utekelezaji wa majukumu yake katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Umoja wa Mataifa wataka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran
Jul 09, 2023 02:38Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Kisiasa, amehutubia kikao cha Baraza la Usalama cha kukagua utekelezwaji wa azimio nambari 2231, na kuelezea kuwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ndio chaguo bora zaidi la kuhakikisha "hali ya amani ya mpango wa nyuklia wa Iran."
-
Guterres: Mapatano ya JCPOA bado ni chaguo bora
Jul 06, 2023 07:33Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema katika ripoti yake ya 15 kuhusu azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la umoja huo kwamba: Mapatano ya JCPOA bado ni chaguo bora.
-
Amir-Abdollahian: JCPOA ni miongoni mwa maudhui tutakayoijadili katika mazungumzo na Russia
Mar 29, 2023 07:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema, watazungumzia na Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia makubaliano ya nyuklia ya JCPOA katika safari yake ya mjini Moscow.
-
Kuvunjwa rasmi mpango wa INSTEX; nembo ya kukiukwa ahadi za Ulaya mkabala wa utekelezaji wa JCPOA
Mar 11, 2023 11:45Troika ya Ulaya inayoundwa na Ujerumani, Ufaransa na Uingereza juzi Alhamisi ilitangaza katika taarifa yake kuwa imesitisha mfumo kwa jina la mpango wa mabadilishano ya kifedha na kibiashara "INSTEX" uliouanzisha mwaka 2019 kwa ajili ya kulinda biashara na Iran mkabala wa vikwazo vya Marekani.
-
Iran: Mlango wa kuhuisha JCPOA hautabaki wazi daima
Mar 03, 2023 02:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameionya Marekani kuwa, mlango wa mazungumzo ya kuhuisha makubaliano ya nyukia ya JCPOA hautabaki wazi milele, na kwa msingi huo ameiasa Washington kutumia fursa hiyo vizuri na kuyanusuru mapatano hayo.