-
Sisitizo la Russia juu ya kutoweza Marekani kurejesha vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran
May 19, 2020 02:52Tarehe 8 Mei 2018, Marekani ilijitoa kijeuri katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA, lakini hivi sasa inafanya njama kubwa za kujaribu kuzuia utekelezaji wa makubaliano hayo hasa kipengee cha kuondolewa Iran vikwazo vya silaha kwa mujibu wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hapo tarehe 18 Oktoba mwaka huu wa 2020. Hata hivyo wajumbe wa Mashariki wa kundi la 4+1 yaani Russia na China wamepinga vikali njama hizo za Marekani.
-
Zarif: Iran imepiga hatua kubwa katika miradi yake ya nyuklia
May 14, 2020 03:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepiga hatua kubwa katika miradi yake ya nyuklia.
-
Indhari ya Russia kuhusu kibarua kigumu katika mchakato wa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
May 12, 2020 21:51Marekani imekuwa iking’ang’ania kutekeleza siasa za "mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa" na kuendeleza vikwazo dhidi ya Iran iwe ni vikwazo vya upande mmoja au vikwazo vinavyohusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hususan vikwazo vya silaha.
-
Russia: Katika suala la JCPOA Marekani imetengwa kikamilifu
May 11, 2020 22:10Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Russia amesisitiza kwamba nchi zote zina msimamo mmoja dhidi ya Marekani kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kwamba Washington imetengwa kikamilifu.
-
Madai ya kipuuzi ya Mike Pompeo kuhusu mafanikio Marekani baada ya kujitoa katika mapatano ya JCPOA
May 11, 2020 02:31Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuyakosoa vikali mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA, Mei 8 mwaka 2018 alichukua uamuzi wa upande mmoja wa kuiondoa nchi yake katika makubaliano hayo.
-
Biden: Trump hajatimiza ahadi ya kuilazimisha Iran isaini makubaliano bora kwa Marekani kuliko JCPOA
May 09, 2020 03:07Joe Biden, anayetarajiwa kuwa mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democrat amekosoa sera za rais wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya Iran huku ukiwa umetimia mwaka wa pili tangu Washington ilipojitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yaitaka Marekani ihitimishe hatua zake za upande mmoja
May 08, 2020 07:04Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani inapaswa kuhitimisha hatua zake za upande mmoja na zenye madhila.
-
Rouhani: Iran haitakubali ukiukwaji wa azimio 2231
May 06, 2020 06:46Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran katu haitakubali ukiukwaji wowote wa azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa. Ameongeza kuwa: "Ni haki isiyopingika ya Iran kuwa, vikwazo vya silaha viondolewe dhidi yake hivi karibuni katika fremu ya azimio hilo."
-
Wanadiplomasia wa EU: Marekani haina haki ya kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran
May 06, 2020 03:31Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya wamesema kwa kujiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran, Marekani ilipoteza haki yake ya kutaka kurefushwa vikwazo vya silaha vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran.
-
Shamkhani: JCPOA itakufa kikamilifu iwapo vikwazo vya silaha dhidi ya Iran vitarefushwa
May 03, 2020 03:46Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran ameonya kuwa, iwapo azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litakiukwa kwa kuongezwa muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Tehran, basi makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yatakufa daima.