Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Araqchi: Iran itachukua hatua zaidi iwapo upande wa pili wa JCPOA hautatekeleza wajibu wake

    Araqchi: Iran itachukua hatua zaidi iwapo upande wa pili wa JCPOA hautatekeleza wajibu wake

    Nov 10, 2019 04:05

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haitasita kuchukua hatua nyingine zaidi katika kupunguza uwajibikaji wake kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, iwapo pande zilizosalia kwenye mapatano hayo hazitatekeleza wajibu wao kwa maslahi ya Tehran.

  • Hatua ya Nne ya Iran; Kufeli 'Mashinikizo ya Juu Zaidi' ya Marekani

    Hatua ya Nne ya Iran; Kufeli 'Mashinikizo ya Juu Zaidi' ya Marekani

    Nov 08, 2019 23:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: 'Marekani ni kinara wa shari, mwanzilishi na muungaji mkono wa ugaidi duniani."

  • Russia yasisitiza kushindwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Russia yasisitiza kushindwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran

    Nov 08, 2019 04:59

    Russia ikiwa mmoja wa wanachama wa kundi la 4+1 daima imekuwa ikisisitiza kulindwa mapatano ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kukosoa vikali hatua ya Marekani kuiwekea Iran vikwazo vya upande mmoja, baada ya yenyewe kujiondoa katika mapatano hayo ya kimataifa, ikisema kuwa huo ni ukiukaji wa wazi wa Washington wa mapatano hayo.

  • Hatua ya Nne ya Iran; kurutibishwa urani kwa kiwango cha asilimia 5 katika kituo cha Fordow

    Hatua ya Nne ya Iran; kurutibishwa urani kwa kiwango cha asilimia 5 katika kituo cha Fordow

    Nov 07, 2019 07:10

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameliagiza Shirika la Nishati ya Atomiki (IAEO) lianze kuingiza gesi kwenye mashinepewa (centrifuges) katika kituo cha nyuklia cha Fordow, ikiwa ni katika utekelezaji wa hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wa Tehran katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Zarif: Nchi za Ulaya zifungamane na mapatano ya JCPOA

    Zarif: Nchi za Ulaya zifungamane na mapatano ya JCPOA

    Nov 05, 2019 23:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri wa Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Ulaya zifungamane na ahadi zao katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) .

  • Russia yaunga mkono hatua ya nne ya Iran kuhusu JCPOA

    Russia yaunga mkono hatua ya nne ya Iran kuhusu JCPOA

    Nov 05, 2019 11:01

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ametangaza kuwa hatua ya nne iliyochukuliwa na Iran kwa ajili ya kupunguza utekelezaji wa majukumu yake ndani ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni jambo la kimantiki.

  • Taarifa ya pamoja ya Kansela wa Ujerumani na Waziri Mkuu wa India kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Taarifa ya pamoja ya Kansela wa Ujerumani na Waziri Mkuu wa India kuhusu makubaliano ya JCPOA

    Nov 03, 2019 04:21

    Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ambayo yalikuwa natija ya juhudi za kidiplomasia na mazungumzo ya awamu kadhaa kati ya Iran na kundi la 5+1; hivi sasa yanakabiliwa na hatari kubwa kufuatia hatua ya Marekani ya kujitoa kwenye makubaliano hayo na kutotekeleza ahadi nchi za Ulaya; hatua iliyokabiliwa na radiamali kali ya Iran ambayo pia imeamua kupunguza hatua kwa hatua uwajibikaji wake ndani ya makubaliano hayo.

  • Japan yataka kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA

    Japan yataka kutekelezwa kikamilifu makubaliano ya JCPOA

    Oct 24, 2019 13:11

    Waziri Mkuu wa Japan ametoa mwito kwa nchi zote husika kutekeleza kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya Iran JCPOA.

  • Rouhani: Maadui wanadhani watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu kwa kuhujumu JCPOA

    Rouhani: Maadui wanadhani watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu kwa kuhujumu JCPOA

    Oct 23, 2019 23:19

    Rais Hassan Rouhani amewashangaa maadui wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaodhani kuwa, kwa kuhujumu na kukiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA watausambaratisha Mfumo wa Kiislamu hapa nchini.

  • Sayyid Mousavi: Iran iko tayari kutekeleza hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA

    Sayyid Mousavi: Iran iko tayari kutekeleza hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wake katika JCPOA

    Oct 21, 2019 09:00

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kutekeleza hatua ya nne ya kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS