-
Taathira hasi za siasa za serikali ya Marekani dhidi ya Iran kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya
Aug 08, 2019 22:15Mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) amesisitiza kuwa siasa zinazotekelezwa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya Iran zimekuwa na taathira hasi kwa uhusiano kati ya Washington na waitifaki wake wa Ulaya.
-
Rais Rouhani: Taifa la Iran halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Marekani
Aug 02, 2019 03:38Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili katu halitasalimu amri mbele ya mashinikizo ya serikali ya Marekani.
-
Zarif: Kwa hali ilivyo hivi sasa, Iran itatekeleza tu hatua ya tatu ya kupunguza uwajibikaji katika JCPOA
Jul 31, 2019 08:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria kuhalifu ahadi kunakofanywa na nchi za Ulaya katika kutekeleza majukumu yao kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kwamba: Kwa hali ilivyo hivi sasa, na kama Ulaya haitachukua hatua za lazima zinazotakikana, Iran itatekeleza tu hatua ya tatu kuhusiana na makubaliano hayo.
-
Russia: Iran imekusudia kupunguza tena utekelezaji wa majukumu yake katika JCPOA
Jul 29, 2019 03:14Mjumbe mwandamizi wa timu ya Russia katika kikao cha kamisheni ya pamoja ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kilichofanyika mjini Vienna amesema, Iran ina mpango wa kuanza awamu mpya ya kupunguza utekelezaji wa ahadi na majukumu yake katika makubaliano hayo.
-
Mousavi: Iran inasubiri hatua za kivitendo za Ulaya katika kulinda makubaliano ya JCPOA
Jul 29, 2019 09:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inasubiri kuona hatua za kivitendo za nchi za Ulaya katika kulinda makubaliano ya nyuklia maarufu kwa kifupi kwa jina la JCPOA.
-
Kikao cha kamisheni ya pamoja ya JCPOA chaanza kufanyika Vienna, Austria
Jul 28, 2019 07:53Kikao cha kamisheni ya pamoja ya makubaliano ya nyuklia JCPOA cha Manaibu Mawaziri na Wakurugenzi wa Kisiasa wa Iran na kundi la 4+1 pamoja na mwakilishi wa Umoja wa Ulaya kimeanza leo huko Vienna mji mkuu wa Austria.
-
Sergey Lavrov: Marekani chanzo kikuu cha migogoro Mashariki ya Kati
Jul 17, 2019 21:57Sergey Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa, Marekani ndio chanzo cha migogoro katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
EU: Iran kupunguza uwajibikaji wake hakujakiuka JCPOA
Jul 16, 2019 03:26Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kupunguza uwajibikaji wake katika makubaliano ya nyuklia haijakiuka pakubwa mapatano hayo ya JCPOA.
-
El Baradei akosoa siasa za Donald Trump dhidi ya Iran
Jul 13, 2019 06:41Mkurugenzi mkuu wa zamani wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amekosoa vikali hatua ya serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na vilevile sera za nchi hiyo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
JCPOA na Baraza la Magavana; juhudi za Ulaya katika kivuli cha undumakuwili wa Marekani
Jul 11, 2019 06:25Sambamba na kufanyika safari ya mshauri wa masuala ya kidiplomasia wa Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa mjini Tehran, kikao cha Baraza la Magavana la Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia kimefanyika mjini Vienna Austria kwa ombi la Marekani.