Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Joe Biden aendeleza uhasama wa Marekani dhidi ya Iran

    Joe Biden aendeleza uhasama wa Marekani dhidi ya Iran

    Jul 10, 2022 03:19

    Rais Joe Biden wa Marekani amedai katika mahojiano yake na gazeti la Washington Post, kuwa Washington itaendeleza mashinikizo ya kidiplomasia na kiuchumi hadi Iran itakaporejea kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Borrell: Lengo la mazungumzo ya Doha ni kuhuisha utekelezaji wa mapatano ya JCPOA

    Borrell: Lengo la mazungumzo ya Doha ni kuhuisha utekelezaji wa mapatano ya JCPOA

    Jun 29, 2022 03:24

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) ameandika katika ujumbe wake wa twiter kwamba lengo la mazungumzo ya Doha ni kuanza kufanya kazi mapatano ya JCPOA.

  • Bagheri Kani aelekea Doha kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya JCPOA

    Bagheri Kani aelekea Doha kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya JCPOA

    Jun 28, 2022 03:36

    Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA anaelekea Doha, mji mkuu wa Qatar kwa ajili kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu.

  • Mazungumzo ya kufufua JCPOA kufanyika katika Ghuba ya Uajemi

    Mazungumzo ya kufufua JCPOA kufanyika katika Ghuba ya Uajemi

    Jun 27, 2022 06:59

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA itafanyika katika moja ya nchi za eneo hili la Asia Magharibi.

  • Shamkhani: Iran inataka makubaliano thabiti na ya kudumu

    Shamkhani: Iran inataka makubaliano thabiti na ya kudumu

    Jun 26, 2022 06:49

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kufikia makubaliano thabiti, ya kudumu na ya kutegemewa baina yake na kundi la 4+1 katika mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA huko Vienna, Austria.

  • Hatua na jumbe za kindumakuwili za Marekani kuhusiana na JCPOA na Iran

    Hatua na jumbe za kindumakuwili za Marekani kuhusiana na JCPOA na Iran

    Jun 18, 2022 21:53

    Moja ya zilizokuwa nara na madai muhimu ya Marekani wakati Rais Joe Biden alipoingia madarakani ni kuirejesha Washington katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Mashauriano ya Blinken na Troika ya Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Mashauriano ya Blinken na Troika ya Ulaya kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    May 16, 2022 03:03

    Akizungumza karibuni kando ya mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa NATO, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameshauriana na mawaziri wenzake wa Ujerumani, Ufaransa na Uingereza kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran na vilevile matukio ya hivi karibuni nchini Ukraine.

  • Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua masharti mapya ya kuondoa vikwazo

    Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua masharti mapya ya kuondoa vikwazo

    Apr 10, 2022 22:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imeibua masharti mapya inayotaka Tehran itekeleze ili iondolewe vikwazo sanjari na kuhuishwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ya mwaka 2015.

  • Iran haiwezi kusalimu amri mbele ya kujitakia makuu Marekani

    Iran haiwezi kusalimu amri mbele ya kujitakia makuu Marekani

    Apr 04, 2022 22:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu katu haiwezi kusalimu amri mkabala wa uchu, tamaa na kujitakia makuu Marekani.

  • Marekani yaendeleza msimamo ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA

    Marekani yaendeleza msimamo ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA

    Mar 27, 2022 23:09

    Mwakilishi maalumu wa serikali ya Marekani katika masuala ya Iran ameendeleza msimamo wa Washington ulio dhidi ya makubaliano ya nyuklia, JCPOA kwa kudai kwamba, serikali ya sasa haiwezi kutoa hakikisho na dhamana juu ya maamuzi yatakayochukuliwa na serikali ijayo ya Marekani kuhusu makubaliano hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS