Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Matakwa ya taasisi za kimataifa kwa Marekani kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran

    Matakwa ya taasisi za kimataifa kwa Marekani kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran

    Apr 24, 2018 05:39

    Wakati wa rais wa Marekani Donald Trump wa kuchukua maamuzi kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran unazidi kukaribia katika hali ambayo jamii ya kimatiafa imeongeza jitihada za kumlazimisha aheshimu vipengee vya mapatano hayo ambayo Marekani ilishiriki kikamilifu kuyafanikisha.

  • UN yazitaka pande zote husika kuheshimu na kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    UN yazitaka pande zote husika kuheshimu na kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Apr 23, 2018 22:47

    Mkuu wa idara ya udhibiti silaha ya Umoja wa Mataifa ametoa wito kwa pande zote husika katika makubaliano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA kuheshimu na kutekeleza makubaliano hayo.

  • Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi

    Iran: Marekani ikijitoa katika JCPOA, tutaanzisha tena shughuli za nyuklia kwa kiwango cha kisasa zaidi

    Apr 23, 2018 00:09

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, chaguo kuu la Iran endapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA ni kuanzisha tena shughuli za nyuklia za taifa hili zenye malengo ya amani lakini kwa kiwango cha juu na cha kisasa zaidi.

  • Macron: Ufaransa haina mpango mwingine mbadala wa makubaliano ya JCPOA

    Macron: Ufaransa haina mpango mwingine mbadala wa makubaliano ya JCPOA

    Apr 22, 2018 23:32

    Rais wa Ufaransa ameashiria kuwa Paris haina mpango mwingine mbadala wa makubaliano ya JCPOA na kuitaka Marekani isalie katika makubaliano hayo ya pamoja na Iran.

  • Iran: Kama mapatano ya JCPOA yatavunjika, tutaanza kutekeleza miradi yetu ya nyuklia kwa kasi kubwa

    Iran: Kama mapatano ya JCPOA yatavunjika, tutaanza kutekeleza miradi yetu ya nyuklia kwa kasi kubwa

    Apr 21, 2018 23:40

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu uwezekano wa Marekani kujitoa katika mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA kwamba, Tehran ina machaguo kadhaa likiwemo la kuanzisha utekelezaji wa miradi yake ya nyuklia kwa kasi kubwa zaidi.

  • Zarif: Marekani itajuta kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran

    Zarif: Marekani itajuta kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran

    Apr 20, 2018 02:59

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Tehran ina hatua kadhaa ambazo inaweza kuchukua ambazo zitaifanya Marekani ijute kujiondoa katika mapatano ya nyuklia yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Korea Kaskazini: Marekani iache vitisho vya kujiondoa katika makubaliano ya JCPOA

    Korea Kaskazini: Marekani iache vitisho vya kujiondoa katika makubaliano ya JCPOA

    Apr 17, 2018 09:58

    Serikali ya Korea Kaskazini sambamba na kuunga mkono Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kuyataja kuwa makubaliano ya kimataifa na muhimu zaidi kati ya Iran na kundi la 5+1, imeikosoa mwenendo wa serikali ya Marekani wa kuendelea kutishia kujitoa katika makubaliano hayo.

  • Mogherini asisitiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran huku undumakuwili wa EU ukiendelea

    Mogherini asisitiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran huku undumakuwili wa EU ukiendelea

    Apr 17, 2018 03:48

    Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesistiza kuhusu kulindwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA.

  • Mogherini: Kulindwa makubaliano ya nyuklia ya Iran ni muhimu kwa EU

    Mogherini: Kulindwa makubaliano ya nyuklia ya Iran ni muhimu kwa EU

    Apr 16, 2018 22:49

    Umoja wa Ulaya umekariri azma yake kubwa ya kutekeleza kikamilifu na pande zote makubaliano ya nyuklia ya mwaka 2015 na kuongeza kuwa, kulindwa makubaliano hayo ni jambo lenye umuhimu.

  • Araqchi: Marekani haiwezi kuchukua uamuzi peke yake kuhusu JCPOA

    Araqchi: Marekani haiwezi kuchukua uamuzi peke yake kuhusu JCPOA

    Apr 10, 2018 12:17

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema: makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hayapo kwa ajili ya Marekani hata iamue kuchukua uamuzi wowote itakao kuhusu makubaliano hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS