Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Safari ya Jean-Yves Le Drian mjini Tehran: Mazungumzo ya wazi na kinagaubaga

    Safari ya Jean-Yves Le Drian mjini Tehran: Mazungumzo ya wazi na kinagaubaga

    Mar 05, 2018 03:54

    Leo Iran ni mwenyeji wa Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ambaye amewasili mapema leo alfajiri katika mji mkuu, Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa Iran.

  • Iran: Tutajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia iwapo hayatakuwa na maslahi kwetu

    Iran: Tutajiondoa kwenye makubaliano ya nyuklia iwapo hayatakuwa na maslahi kwetu

    Feb 28, 2018 04:35

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran itajiondoa mara moja kwenye makubaliano ya nyuklia iwapo itahisi mapatano hayo hayana maslahi kwa taifa hili.

  • Araqchi: Uwepo wa Iran nchini Syria ni kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Araqchi: Uwepo wa Iran nchini Syria ni kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Feb 22, 2018 11:06

    Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwepo wa kiushauri wa Iran huko Iraq na Syria na kupambana na ugaidi umeyakwaza makundi ya kigaidi na kuyafanya yashindwe kuwa na udhibiti katika Mashariki ya Kati ikiwemo Lebanon.

  • Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani anaeneza chuki dhidi ya Iran

    Mshauri wa Usalama wa Taifa Marekani anaeneza chuki dhidi ya Iran

    Feb 18, 2018 04:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Mshauri wa Usalama wa Taifa katika utawala wa Marekani anaeneza chuki dhidi ya Iran.

  • Ban Ki-moon: JCPOA ni mfano mzuri wa kutatuliwa mgogoro wa Rasi ya Korea

    Ban Ki-moon: JCPOA ni mfano mzuri wa kutatuliwa mgogoro wa Rasi ya Korea

    Feb 11, 2018 01:01

    Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, ameyaelezea mapatano ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi 6 kubwa za dunia yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA kuwa ni mfano mzuri kwa ajili ya kutatuliwa mgogoro wa Rasi ya Korea.

  • Russia: Suala la kuangaliwa upya makubaliano ya JCPOA halipo

    Russia: Suala la kuangaliwa upya makubaliano ya JCPOA halipo

    Feb 10, 2018 04:14

    Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, suala la kuangalia upya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA halipo.

  • IAEA na EU zatetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    IAEA na EU zatetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Feb 09, 2018 00:00

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na Umoja wa Ulaya (EU) zimetetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA baina ya Iran na nchi za kundi la 5+1.

  • Russia yatoa indhari kuhusu matokeo yasiyotabirika endapo makubaliano ya nyuklia na Iran yatavunjika

    Russia yatoa indhari kuhusu matokeo yasiyotabirika endapo makubaliano ya nyuklia na Iran yatavunjika

    Feb 08, 2018 00:27

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov ameonya kuwa kuvunjika makubaliano ya nyuklia na Iran kunaweza kuwa na matokeo yasiyoweza kutabirika.

  • Domokaya na makelele ya Trump hayawezi kubadilisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Domokaya na makelele ya Trump hayawezi kubadilisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Feb 08, 2018 00:25

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amebainisha misimamo ya Tehran kuhusiana na matukio ya kieneo na kimataifa katika mkutano wake na waandishi wa habari wa ndani na wa nje na kusema kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwamba, katu hakutoongezwa au kupunguzwa chochote katika makubaliano hayo.

  • Onyo la Russia kuhusu juhudi za Marekani kutaka kubadili mapatano ya JCPOA

    Onyo la Russia kuhusu juhudi za Marekani kutaka kubadili mapatano ya JCPOA

    Feb 07, 2018 10:36

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameonya kwamba juhudi zinazofanywa na serikali ya Washington kwa madhumuni ya kuyafanyia mabadiliko ya kimsingi mapatano ya nyuklia kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi 6 kubwa za dunia yanayojulikana kwa ufupisho wa JCPOA hatimaye zitapelekea kusambaratika kwa mapatano hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS