Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Katibu Mkuu wa UN atetea makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Katibu Mkuu wa UN atetea makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 18, 2018 07:35

    Katibu Mkuu wa jumuiya kubwa zaidi ya kimataifa ametetea kuendelea kutekelezwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Katibu Mkuu wa UN aunga mkono makubaliano ya JCPOA

    Katibu Mkuu wa UN aunga mkono makubaliano ya JCPOA

    Jan 18, 2018 03:50

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameunga mkono makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA.

  • Rais Rouhani: Marekani imezidi kujidhalilisha kwa kukataa kuheshimu JCPOA

    Rais Rouhani: Marekani imezidi kujidhalilisha kwa kukataa kuheshimu JCPOA

    Jan 14, 2018 12:27

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Marekani imefeli kimataifa na katika uingiliaji wake wa masuala ya ndani ya Iran.

  • Wizara ya Mambo ya Nje Iran yamjibu Trump, Tehran haitafanya mazungumzo kuhusu JCPOA

    Wizara ya Mambo ya Nje Iran yamjibu Trump, Tehran haitafanya mazungumzo kuhusu JCPOA

    Jan 13, 2018 10:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa rasmi ikitangaza kuwa, kwa mara nyinghine tena Rais wa Marekani amelazimika kurefusha muda wa kusitisha vikwazo vya nyuklia vya Iran licha ya juhudi zake za mwaka mzima za kutaka kufuta makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Zarif amjibu Trump, asema hakuna mazungumzo kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran

    Zarif amjibu Trump, asema hakuna mazungumzo kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran

    Jan 13, 2018 01:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya kujitakia makuu ya Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) na kusema haiwezekani kufanya mazungumzo mapya kuhusu mapatanao hayo huku akiitaka Marekani itekeleze ahadi zake.

  • Mogherini:  Umoja wa Ulaya utaendelea kuheshimu maafikiano ya nyuklia ya JCPOA

    Mogherini: Umoja wa Ulaya utaendelea kuheshimu maafikiano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 11, 2018 12:56

    Mkuu wa Siasa za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo umeamua kuheshimu maafikiano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Mashauriano ya Zarif mjini Brussels kuhusu mustakbali wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Mashauriano ya Zarif mjini Brussels kuhusu mustakbali wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Jan 11, 2018 08:54

    Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yuko mjini Brussels nchini Ubelgiji kwa ajili ya mashauriano na Mawaziri wenzake wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na bi Federica Mogherini, Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Zarif: Uhai wa JCPOA unategemea kufungumana kikamilifu US

    Zarif: Uhai wa JCPOA unategemea kufungumana kikamilifu US

    Jan 11, 2018 04:24

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran haitaendelea kufungamana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, iwapo Marekani itayakiuka.

  • Marekani yatengwa katika kikao cha Baraza la Usalama kilichojadili mapatano ya nyuklia ya Iran

    Marekani yatengwa katika kikao cha Baraza la Usalama kilichojadili mapatano ya nyuklia ya Iran

    Dec 20, 2017 04:27

    Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameashiria kufanyika Kikao cha Baraza la Usalama la umoja huo kuhusu azimio nambari 2231 la mapatano ya nyuklia ya Iran na kusema washiriki wa kikao hicho walitangaza kuunga mkono mapatano hayo na kwamba kikao hicho kilithibitisha namna Marekani ilivyotengwa.

  • Rais Rouhani: Marekani haiwezi kubatilisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Rais Rouhani: Marekani haiwezi kubatilisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA

    Dec 19, 2017 10:39

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema tokea yaanze kutekelezwa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, Marekani imetaka mara kadhaa mapatano hayo yabatilishwa lakini haiwezi kufanikiwa katika hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS