-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza atembelea Iran asisitiza kuheshimu JCPOA
Dec 09, 2017 11:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Boris Johnson leo amekutna na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif hapa mjini Tehran na kusisitiza kuwa London inasisitiza kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA).
-
Mogherini asisitiza tena EU inafungamana na mapatano ya nyuklia ya Iran
Dec 01, 2017 12:14Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya kwa mara nyingine amesisitiza kuwa EU itaendelea kufungamana na mapatano ya nyuklia baina ya Iran na kundi la 5+1.
-
Zarif: Iran iko Syria kwa "ombi rasmi" la serikali ya Damascus
Dec 01, 2017 01:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwepo Iran nchini Syria kumetokana na ombi rasmi la serikali ya nchi hiyo.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA asisitiza tena kwamba Iran imefungamana na makubaliano ya JCPOA
Nov 25, 2017 00:52Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa Iran imefungamana na kutekeleza kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Ripoti mpya ya IAEA yathibitisha kufungamana Iran na makubaliano ya JCPOA
Nov 23, 2017 10:55Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) kwa mara nyingine tena umethibitisha katika ripoti yake mpya ya msimu kuwa Iran imetekeleza majukumu yake kuhusu makubaliano ya JCPOA.
-
EU: Hakuna uwezekano wa kujadiliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran
Nov 21, 2017 10:48Afisa mwandamizi wa taasisi moja ya Umoja wa Ulaya amesema hakuna uwezekano wala mpango wowote wa kuyadili upya makubaliano ya nyuklia ya Iran.
-
Ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA na tabia ya Marekani ya kutotekeleza majukumu yake
Nov 19, 2017 13:34Mwenendo wa Marekani wa kukiuka makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran JCPOA kwa kifupi umeingia katika awamu mpya baada ya matamshi yaliyotolewa na Rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Iran: Ripoti mpya ya IAEA inakinzana na madai hewa ya Marekani kuhusu JCPOA
Nov 14, 2017 01:09Balozi wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) amesema ripoti ya hivi punde ya wakala huo sanjari na kuthibitisha kuwa Tehran imefungamana na makubaliano ya nyuklia ya Vienna, lakini pia imekinzana na tuhuma zisizo na msingi zilizotolewa na Washington kuhusu mapatano hayo ya kimataifa.
-
EU yapinga takwa la Marekani la kutaka mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran
Nov 09, 2017 00:19Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya Federica Mogherini amesisitiza kuwa haiwezekani kufanya mazungumzo mpya kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA.
-
Salehi: Marekani inafanya njama za kufuta makubaliano ya JCPOA
Nov 04, 2017 23:40Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Marekani inataka kuyasambaratisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa gharama za Iran.