Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

JCPOA

  • Zarif: Wairani wote ni

    Zarif: Wairani wote ni "Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu"

    Oct 14, 2017 12:45

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu yay Iran amesema katika radiamali yake kwa matamshi ya chuki na kiuadui ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwamba hii leo Wairani wote, wake kwa waume na vijana kwa wazee ni "Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu".

  • Ayatullah Shahroudi: Uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi kudhoofishwa

    Ayatullah Shahroudi: Uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi kudhoofishwa

    Oct 14, 2017 11:59

    Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mashinikizo ya Marekani ya kutaka kuuwekea mipaka uwezo wa kijeshi na kiulinzi wa Iran hayakubaliki na kusisitiza kwamba uwezo wa kiulinzi wa Iran hauwezi kudhoofishwa.

  • Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa asisitiza umuhimu wa JCPOA

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa asisitiza umuhimu wa JCPOA

    Oct 14, 2017 04:39

    Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amejibu matamshi yaliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Iran na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kutilia mkazo umuhimu wa kulindwa makubaliano hayo.

  • Russia: Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa JCPOA

    Russia: Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa JCPOA

    Oct 14, 2017 00:48

    Russia imeonya kuwa Marekani itahatarisha usalama wa dunia ikijiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yaliyotiwa saini mwaka 2015 baina ya Iran na madola sita makubwa duniani.

  • Larijani: Iran haitoinasa kwenye utando wa buibui wa Marekani

    Larijani: Iran haitoinasa kwenye utando wa buibui wa Marekani

    Oct 13, 2017 04:30

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema muamala wa wanasiasa wa Marekani ni wa kuvutia watu wa kawaida na wa mpito na akasisitiza kwa kusema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inafuatilia kwa makini mienendo na hatua zao zote na itachukua uamuzi kulingana na maslahi yake ya taifa.

  • John Kerry: Trump anasema uongo kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    John Kerry: Trump anasema uongo kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Oct 13, 2017 04:05

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry ameukosoa vikali msimamo hasi ambao unatazamiwa kutangazwa na rais wa nchi hiyo Donald Trump kuhusiana na makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na nchi zinazounda kundi la 5+1.

  • Velayati: Kundi la 5+1 liilazimishe Marekani itekeleze majukumu yake kuhusu JCPOA

    Velayati: Kundi la 5+1 liilazimishe Marekani itekeleze majukumu yake kuhusu JCPOA

    Oct 12, 2017 10:40

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Katika Masuala ya Kimataifa amesema kuwa Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) si makubaliano ya pande mbili ambayo Wamarekani wanaweza kuyafuta wao wenyewe.

  • Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; mtihani kwa Trump na itibari ya Marekani kimataifa

    Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA; mtihani kwa Trump na itibari ya Marekani kimataifa

    Oct 12, 2017 10:16

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA kwa kifupi, ni mtihani muhimu kwa serikali zilizoshiriki katika mazungumzo ya nyuklia na tawala nyingine duniani na kwamba, kutekeleza ahadi ni msingi wa dunia kuiamini serikali fulani.

  • EU: Marekani itajipotezea itibari kimataifa ikijiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran

    EU: Marekani itajipotezea itibari kimataifa ikijiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran

    Oct 12, 2017 03:35

    Mkuu wa Sera za Kigeni katika Umoja wa Ulaya amesema iwapo Marekani itajiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama "Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA), jambo hilo litaipotezea Marekani itibari miongoni mwa nchi zingine duniani.

  • Rouhani: Iwapo Marekani itajitoa katika JCPOA madhara ya jambo hilo litaidhuru Marekani yenyewe

    Rouhani: Iwapo Marekani itajitoa katika JCPOA madhara ya jambo hilo litaidhuru Marekani yenyewe

    Oct 11, 2017 13:23

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, iwapo Marekani itajitoa katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa jina maarufu la JCPOA, madhara ya kujitoa huko yatawakumba Wamarekani wenyewe. Amesisitiza kuwa, Iran haitakwamishwa na jambo lolote katika kufikia malengo yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS