-
Uingereza yamtaka Trump aheshimu JCPOA
Oct 11, 2017 04:48Waziri Mkuu wa Uingereza amekariri kuwa London itaendelea kufungamana na kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Iran, huku akimtaka Rais Donald Trump wa Marekani kuheshimu mapatano hayo ya kimataifa.
-
Kuendelea upinzani sambamba na uamuzi tarajiwa wa Trump kuhusiana na makubaliano ya JCPOA
Oct 10, 2017 23:02Sambamba na kukaribia tarehe ya kutangazwa msimamo wa serikali ya Marekani kuhusiana na Iran na makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), mazungumzo kwa ajili ya Washington kuheshimu makubaliano hayo ya nyuklia nayo yameshika kasi.
-
Zarif: Iran inataka suluhu, uthabiti na usalama katika eneo
Oct 10, 2017 13:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, kwa muda sasa eneo la Mashariki ya Kati limekumbwa na machafuko na ukosefu wa uthabiti baada ya vikosi vya kijeshi vya kigeni kuanza kuingilia masuala ya eneo hili na amesisitiza kwamba Tehran inataka suluhu, uthabiti na amani vitawale katika mataifa yote ya eneo hili.
-
Iran itatumia fursa iliyoibuliwa na uhasama wa Rais wa Marekani kuijiimarisha kijeshi
Oct 08, 2017 10:40Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, IRGC, amesema Iran itatumia fursa iliyojitokeza katika matamshi yaliyojaa uhasama ya Rais wa Marekani kujiimarisha kijeshi.
-
Rais Rouhani: Mafanikio ya mapatano ya nyuklia ya Iran hayawezi batilishwa
Oct 07, 2017 10:54Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesistiza kuwa, manufaa ya mapatano ya nyuklia ya Iran yajulikanayo kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji JCPOA hayawezi batilishwa na yeyote duniani hata rais wa Marekani.
-
Spika Larijani: Wamarekani wanafanya uafiriti katika suala la nyuklia
Oct 06, 2017 20:43Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya chuki na njama za Wamarekani dhidi ya Iran kugonga mwamba baada ya ushindi wa mapinduzi ya Kiislamu, lakini hadi sasa wangali wanaendeleza hatua zao za chuki na wamekuwa wakifanya uafiriti katika kadhia ya nyuklia.
-
Ayatullah Khatami: Viongozi wa eneo la Kurdistan wamefanya hiana kubwa
Oct 06, 2017 11:01Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran, Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami amesema kuwa, kitendo cha viongozi wa eneo la Kurdistan ya Iraq kutosikiliza nasaha za serikali kuu ya Iraq na nchi za eneo na kisha kuitisha kura ya maoni ya kutaka kujitenga, ni hiana.
-
Bwabwaja za Trump kabla ya kuchukua uamuzi kuhusu makubaliano ya JCPOA
Oct 06, 2017 04:25Rais Donald Trump wa Marekani ambaye amekuwa akifanya jitihada za kuharibu makubaliano ya nyuklia ya Iran na kundi la 5+1 kwa kutumia fursa na mbinu zote, kwa mara nyingine tena amedai kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitekelezi makubaliano hayo.
-
Nchi tano muhimu za Ulaya zampinga Trump kuhusu JCPOA
Oct 05, 2017 00:46Maafisa waandamizi wa nchi tano za Ulaya wamesisitiza kuwa nchi zao zitaendelea kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwani ni makubaliano ya kimataifa kama ambavyo wamesisitiza pia kuwa nchi zao zitaendelesha kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyuga tofauti.
-
Onyo la Zarif kuhusiana na kujiondoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
Sep 30, 2017 08:48Misimamo ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani inathibitisha wazi kwamba rais huyo hayuko tayari kukubali kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza kikamilifu majukumu yake za mapatano ya nyuklia yanayojulikana kwa ufupi kama JCPOA licha ya nchi za Ulaya na hata wanasiasa mashuhuri wa nchi yake mwenyewe kuthibitisha suala hilo.