-
Kim Jong-un atoa amri ya kuongezwa uwezo zaidi wa hamasa ya jeshi la Korea Kaskazini kumkabili adui
May 11, 2019 10:05Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini ametoa amri kwa viongozi wote wa nchi hiyo kuinua uwezo wa hamasa wa jeshi kwa ajili ya kukabiliana na adui.
-
Gaidi mmoja Mmarekani auawa kaskazini mwa Iraq
Apr 21, 2019 02:09Duru za habari zimeripoti kuwa mwanajeshi mmoja gaidi wa Marekani ameuawa kaskazini mwa Iraq.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Udugu wa Jeshi na IRGC ni harakati maridadi baada ya hatua chafu ya Marekani
Apr 17, 2019 09:26Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Iran amesema umoja unaozidi kuimarika wa majeshi y Iran ni jambo ambalo limemkasirisha adui na kuongeza: "Mkondo wa udugu kati ya Jeshi la Iran na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ni harakati maridadi baada ya harakati chafu ya Marekani."
-
Uungaji mkono wa jeshi la Venezuela kwa mpango wa Rais Maduro wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini humo
Apr 10, 2019 10:06Mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela uliibuka tangu tarehe 10 Januari mwaka huu, wakati Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo aliposhinda kwa kuchaguliwa kwa mara ya pili na kuapishwa kuwa rais wa taifa hilo la Amerika ya Latini, katika uchaguzi ambao ulisusiwa na wapinzani.
-
Jeshi la Syria laangamiza maficho ya magaidi wa Jabhat al Nusra mkoani Hama
Mar 19, 2019 11:33Wanajeshi wa Syria wameshambulia na kuangamiza maficho ya magaidi wa Jabhat al Nusra katika viunga vya mkoa wa Hama wa magharibi mwa nchi hiyo.
-
Raia 10 wa Syria wauawa katika mashambulizi ya ndege za muungano vamizi
Mar 17, 2019 13:25Duru za habari za Syria zimetangaza kuwa raia kumi wa nchi hiyo wamuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na ndege za muungano vamizi unaoongozwa na Marekani huko mashariki mwa Syria.
-
Rais al Bashir wa Sudan atoa amri ya kuwastaafisha maafisa wa jeshi
Mar 09, 2019 04:01Rais Omar al Bashir wa Sudan ametoa amri ya kuwastaafisha maafisa kadhaa wa jeshi la nchi hiyo.
-
Uwezo wa Iran wa kujihami na kumzuia adui; chanzo cha uthabiti na usalama
Feb 23, 2019 04:11Vikosi vya kijeshi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinadhibiti kikamilifu hali ya mambo na viko tayari kukabiliana na vitisho katika eneo.
-
Jeshi la Venezuela latangaza tena utiifu wake kwa Rais Maduro
Feb 20, 2019 23:25Waziri wa Ulinzi wa Venezuela ametangaza tena utiifu wake na vikosi vya majeshi ya nchi hiyo kwa Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo na kusema kuwa, makamanda na wanajeshi wa nchi hiyo wanafuata na kuutii amri ya Rais Maduro na wataendelea kusimama naye bega kwa bega hadi tone la mwisho la damu yao.
-
Silaha za Marekani na magaidi wa Israel zapatikana Syria
Feb 19, 2019 04:30Askari usalama wa Syria wamenasa idadi kubwa ya silaha za Marekani na Israel zinazomilikiwa na magaidi huko Rif-Dimashq.