-
Iran yazindua nyambizi mpya yenye makombora ya cruise
Feb 18, 2019 02:33Rais Hassan Rouhani wa Iran amezindua nyambizi ya kisasa iliyoundwa hapa nchini ambayo ina uwezo wa kusheheni makombora ya cruise.
-
Jeshi la Sudan: Hatutaruhusu nchi isambaratike kutokana na machafuko
Jan 31, 2019 14:55Jeshi la Sudan limesema kuwa halitaruhusu nchi isambaratike kufuatia maandamano ya nchi nzima yanayoendelea sasa huku Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo akitahadharisha juu ya kuwepo njama ya kuchochea hali ya mchafukoge nchini humo.
-
Maelfu ya wanajeshi wa Marekani waelekea katika mpaka wa Mexico
Jan 30, 2019 07:26Naibu Waziri wa Ulinzi wa Marekani amesema kuwa, maelfu ya wanajeshi wa nchi hiyo wameelekea katika mpaka wa Mexico kwa lengo la kile kilichotajwa kuwa ni kurejesha hali ya usalama katika eneo hilo.
-
Admeri Sayyari: Mfumo wa kijeshi wa Iran ni wa kujihami na kutegemea uwezo wa kuzuia hujuma dhidi yake
Jan 27, 2019 08:01Mkuu wa uratibu wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mfumo wa kijeshi wa Iran ni wa kujihami na unaotegemea uwezo wa kuzuia hujuma dhidi yake na akaongezea kwa kusema, zana zote za kijeshi na kiulinzi za vikosi vya ulinzi zinatengezwa humu humu nchini.
-
Israel yakiri kuwapa msaada wa silaha wapinzani wa serikali ya Syria
Jan 16, 2019 04:28Mkuu wa Majeshi ya Utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa utawala huo umekuwa ikiwapa silaha wapinzani wa serikali ya Syria.
-
Zimbabwe yatumia wanajeshi kuzima maandamano, kadhaa wauawa
Jan 15, 2019 14:38Watu wasiopungua watano wameuawa na maafisa usalama huku maandamano ya kupinga ongezeko la bei ya mafuta kwa asilimia 150 nchini Zimbabwe yakishtadi.
-
Jeshi la Sudan latangaza uungaji mkono kwa al Bashir, vyama vya upinzani vyajiunga na maandamano ya wananchi
Dec 25, 2018 02:59jeshi la Sudan limetangaza uungaji mkono wake kwa kiongozi anayezongwa na matatizo mengi ya kisiasa na kiuchumi wa nchi hiyo baada ya kushadidi maandamano ya wananchi wanaopinga hali mbaya ya uchumi. Waandamanaji hao pia wametoa wito wa kuondolewa madarakani serikali ya sasa ya Khartoum.
-
Mshauri wa Bashar al-Assad: Wamarekani wamekimbia Syria
Dec 24, 2018 02:50Mshauri wa kisiasa na wa masuala ya habari wa Rais wa Syria amesema kuhusu hatua ya wanajeshi wa Marekani kuondoka nchini humo kwamba: Wamarekani wamekimbia, kwa sababu sisi tumesimama imara.
-
Hizbullah Iraq: Kuondoka Marekani syria ni ishara ya kushindwa Washington
Dec 23, 2018 01:09Harakati ya Hizbullah ya Iraq imetangaza kuwa, kuondoka kwa majeshi ya Marekani nchini Syria kuna maana ya kushindwa stratijia za jeshi la nchi hiyo.
-
Zaidi ya asilimia 54 ya askari wa Israel wanatumia madawa ya kulevya ili 'kujisahaulisha' na uhalisia unaowakabili
Dec 22, 2018 08:02Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limeripoti kuwa umegunduliwa mtandao wa magendo ya mihadarati na usambazaji wa madawa hayo ya kulevya unaofanywa na askari wa Israel kwenye mipaka ya kaskazini ya eneo la Ukanda wa Gaza.