Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

jeshi

  • Jeshi la Cameroon laua wanachama 7 wa kundi linalotaka kujitenga

    Jeshi la Cameroon laua wanachama 7 wa kundi linalotaka kujitenga

    Dec 19, 2018 02:50

    Jeshi la Cameroon limetangaza habari ya kuua wanachama saba wa waasi wa Ambazonia katika mji wa Bamenda, katika eneo lenye wazungumzaji wengi wa Kiingereza la kusini magharibi mwa nchi hiyo.

  • Wazayuni wakiri: Jeshi la Israel halina ubavu wa kuingia katika vita vipya

    Wazayuni wakiri: Jeshi la Israel halina ubavu wa kuingia katika vita vipya

    Dec 15, 2018 02:40

    Afisa mmoja mwandamizi wa jeshi la utawala wa Kizayuni amekiri kuwa Israel haina uwezo wa kuingia kwenye vita vyengine vipya.

  • Uwezo wa Jeshi la Majini la Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Uwezo wa Jeshi la Majini la Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu

    Nov 29, 2018 07:15

    Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Iran jana alikutana na makamanda na wakuu wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema kumepatikana mafanikio makubwa katika Jeshi la Iran hasa jeshi la majini tokea mwanzo wa Mapinduzi ya Kiislamu hadi sasa.

  • Uganda yatuma askari Tanzania katika mazoezi ya kijeshi ya Afrika Mashariki

    Uganda yatuma askari Tanzania katika mazoezi ya kijeshi ya Afrika Mashariki

    Nov 02, 2018 06:04

    Uganda imetuma askari na raia 219 kushiriki kwenye mazoezi ya kijeshi ya pamoja ya Jumuiya ya Afrika Mashariki nchini Tanzania.

  • "Uwezo wa kujihami Iran ni kwa maslahi ya kuzuia vita Mashariki ya Kati"

    Oct 26, 2018 15:19

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema stratijia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ya kuimarisha uwezo wake wa kujihami ni kwa shabaha ya kuzuia vita katika eneo hili la Mashariki ya Kati.

  • Vyombo vya habari vyafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Vyombo vya habari vyafichua nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Oct 26, 2018 08:15

    Vyombo vya habari vimefichua picha za video zinazoonesha waziwazi nafasi ya Ufaransa katika mauaji ya kimbari yaliyofanyika Rwanda mwaka 1994.

  • OCHA: Yemen inakabiliwa na hali mbaya ya baa la njaa

    OCHA: Yemen inakabiliwa na hali mbaya ya baa la njaa

    Oct 24, 2018 07:52

    Ofisi ya Uratibu ya Umoja wa Mataifa Inayoshughulikia Masuala ya Kibinaadamu (OCHA) imetangaza kuwa, nchi ya Yemen inakabiliwa na hali mbaya ya baa la njaa.

  • Saudia na Imarati zinaongoza kwa kununua vifaa vya kijasusi vya Israel

    Saudia na Imarati zinaongoza kwa kununua vifaa vya kijasusi vya Israel

    Oct 21, 2018 02:37

    Gazeti la Kizayuni la Haaretz limefichua kuwa, Bahrain, Imarati (UAE) na Saudi Arabia zina mikataba mikubwa sana ya kununua vifaa vya kijasusi kutoka kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Sakata la kutekwa MO Dewji: Familia kutoa Sh1 bilioni kwa atakayetoa taarifa za alipo bilionea huyo

    Sakata la kutekwa MO Dewji: Familia kutoa Sh1 bilioni kwa atakayetoa taarifa za alipo bilionea huyo

    Oct 15, 2018 14:02

    Familia ya bilionea aliyetekekwa nyara nchini Tanzania Mohammed Dewji imevunja ukimya na kusema kuwa, itatoa kitita cha Sh1 bilioni kama zawadi kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazopelekea kupatikana kwa bilionea huyo.

  • Lebanon yasambaratisha njama ya Daesh ya kuweka sumu katika maji ya kunywa

    Lebanon yasambaratisha njama ya Daesh ya kuweka sumu katika maji ya kunywa

    Sep 28, 2018 07:56

    Vyombo vya usalama vya Lebanon vimetangaza habari ya kusambaratishwa njama ya genge la kigaidi la Daesh (ISIS) ambalo lilitaka kuweka sumu ndani ya maji ya kunywa ya wanajeshi wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS