-
AMISOM yaomba msamaha kwa kuua raia wa Somalia
Apr 18, 2016 04:03Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kimetoa taarifa rasmi ya kuomba msamaha kwa kuua 'kimakosa' raia wanne wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
'Jeshi la Iran liko imara kuilinda Jamhuri ya Kiislamu'
Apr 16, 2016 04:13Luteni Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu la Iran amesema kuwa, jeshi hilo liko imara katika kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Askari 500 wa Marekani walijiua mwaka jana
Apr 06, 2016 07:43Takaribani askari 500 wa Jeshi la Marekani walijiua mwaka jana na hivyo kuendeleza mkondo wa idadi kubwa ya wanajeshi wanaojiua nchini humo katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
-
Kaburi la umati lagunduliwa Palmyra, nchini Syria
Apr 02, 2016 07:52Jeshi la Syria limegundua kaburi la umati ambalo lilikuwa limefukiwa makumi ya watu waliouawa na kundi la kigaidi na kitaifiri la Daesh katika mji uliokombolewa hivi karibuni wa Palmyra.
-
Matukio ya Yemen
Apr 01, 2016 16:54Jinai za muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia zimeendelea nchini Yemen kufuatia ndege za kivita za Saudia kushambulia maeneo ya makazi ya raia kusini mwa nchi hiyo.
-
Rais Assad alipongeza jeshi la Syria kwa kuukomboa mji wa Palmyra
Mar 27, 2016 14:34Rais Bashar al-Assad wa Syria amelipongeza jeshi la nchi hiyo kwa kuukomboa mji wa kihistoria wa Palmyra kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh.
-
Al-Shabaab: Tumeua wanajeshi 73 wa Somalia, Lower Shabelle
Mar 21, 2016 16:15Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limedai kuwaua askari 73 wa jeshi la taifa la Somalia, katika makabiliano makali yaliyotokea jana huko Shabelle ya Chini, yapata kilomita 60 kusini mwa mji mkuu, Mogadishu.
-
Jeshi la Kenya laua magaidi 34 wa al-Shabab Somalia-MPYA UPDATE 2
Mar 20, 2016 15:52Jeshi la Kenya limewaangamiza magaidi 21 wa kundi la kitakfiri la al Shabab kufuatia mapigano makali katika nchi jirani ya Somalia.
-
Sudan Kusini yaondoa majeshi yake katika mpaka na jirani yake Sudan
Mar 19, 2016 16:48Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kuwa, imetekeleza amri ya kuondoa vikosi vyake vya jeshi katika mpaka wa nchi hiyo na jirani yake, Sudan.
-
Tunisia yaangamizi Madaesh wengine 5 karibu na mpaka na Libya
Mar 09, 2016 07:56Jeshi la Tunisia limesema kuwa limefanikiwa kuangamiza wanamgambo wengine watano wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh karibu na mpaka wa nchi hiyo na Libya.