-
Kerry aiomba Iran isaidie kuhatimisha vita Syria na Yemen
Apr 07, 2016 11:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry, ameomba msaada wa Iran ili kuhatimisha vita katika nchi za Syria na Yemen.
-
'Kampeni za urais zinaiaibisha Marekani'
Mar 28, 2016 02:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry amekiri kuwepo utovu wa nidhamu katika kampeni za uchaguzi wa rais nchini humo na kusema jambo hilo limepelekea Marekani kuaibika kimataifa.
-
John Kerry: Ni kweli Daesh wanafuata mafundisho yaliyo kinyume na Uislamu
Mar 17, 2016 23:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, ni jambo lisilo na shaka kuwa, kundi la kigaidi la Daesh limetenda jinai kubwa dhidi ya binaadamu.
-
Kerry: US, Russia zitalenga Daesh na al-Nusra nchini Syria
Mar 01, 2016 04:25Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amesema kuwa Washington na Moscow zimekubaliana kutojadili madai ya kukiuka makubaliano ya usitishaji vita nchini Syria ambayo yalianza kutekelezwa hivi karibuni na kuongeza kuwa vikosi vya nchi mbili hizo vitalenga tu kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na al-Nusra katika mashambulizi yao.
-
Lavrov amjibu Kerry kuhusu mustakabali wa Syria
Feb 25, 2016 13:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amesema nchi yake na Marekani hazitofuatilia chaguo jengine kwa ajili ya Syria.
-
Kerry aisihi Seneti ya US kutopitisha vikwazo vipya dhidi ya Iran
Feb 25, 2016 04:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amelishauri Bunge la Seneti la nchi hiyo lisipitisha vikwazo vipya dhidi ya Iran na badala yake kutoa fursa kwa utekelezwaji wa makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Tehran na kundi la 5+1 mwaka uliopita.
-
Zarif: Wasyria wenyewe waamue mustakabali wao
Feb 13, 2016 22:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa uamuzi juu ya serikali ijayo ya Syria uko mikononi mwa wananchi wa nchi hiyo.