-
Gavana wa Karbala: Mazuwari wa Arubaini mwaka huu kupindukia milioni 30
Sep 05, 2023 12:18Gavana wa jiji la Karbala nchini Iraq amesema mji huo mtakatifu utapokea wafanyaziara zaidi ya milioni 30 katika Arubaini ya Imam Hussein AS mwaka huu.
-
Nchi 65 zashiriki kongamano la kuiunga mkono Palestina katika mji mtakatifu wa Karbala, Iraq
Aug 29, 2023 06:55Mkutano wa kimataifa wenye anuani ya Wito wa Al-Aqsa umefanyika katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq, kwa kuhudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 65 duniani.
-
Kumbukumbu za Tasua ya Imam Husain AS zafanyika kona zote za Iran
Jul 28, 2023 03:00Jana Alkhamisi ilisadifiana na mwezi Tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ya maombolezo ya Tasua ya Imam Husain AS na mashahidi wengine wa mapambano ya Karbala ya mwaka 61 Hijria.
-
Mwili wa Ayatullah Lotfollah Safi Golpaygani kuzikwa leo katika mji wa Karbala, Iraq
Feb 03, 2022 08:18Mwili mtakatifu wa mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Ayatullah Safi Golpaygani umehamishiwa katika Msikiti wa Sheikh Tusi karibu na Haram ya Imam Ali bin Abi Twalib (AS) baada ya kuwasili katika mji mtakatifu wa Najaf.
-
Maafisa Usalama Iraq wazima jaribio la shambulizi la kigaidi Karbala
Mar 29, 2021 12:34Maafisa usalama wa Iraq wamezima jaribio la shambulizi la kigaidi lililolenga mjumuiko mkubwa wa wapenzi wa Watu wa Nyumba ya Mtume Muhammad (saw) uliokuwa njiani kutoka Najaf ukielekea katika mji mtakatifu wa Karbala kwa ajili ya sherehe za kuzaliwa Imam wa Zama na mwokozi aliyeahidiwa wa Akheri Zamani, Imam Mahdi (as).
-
Mamilioni washiriki maombolezo ya Tasua kwa kuchunga protokali za afya
Aug 29, 2020 08:02Licha ya janga la corona, na huku wakichunga protokali za afya, mamilioni ya Waislamu wa Iran na maeneo mengine ya dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua.
-
Zaidi ya wafanyaziara milioni 17 wameshiriki katika Arubaini ya Imam Hussein (as) ya mwaka huu
Oct 21, 2019 02:39Gavana wa mkoa wa Karbala nchini Iraq ametangaza kuwa, idadi ya mazuwari walioshiriki kwenye maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu imepindukia milioni 17.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa familia za Mashahidi wa Karbala
Sep 11, 2019 07:35Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetuma salamu za rambirambi kwa serikali ya Iraq na familia za Mashahidi kufuatia tukio la kufa shahidi makumi ya watu katika mji mtakatifu wa Karbala.
-
Waislamu milioni tatu wazuru Haram ya Imam Hussein Karbala, wakumbuka mauaji yake
Sep 11, 2019 03:26Zaidi ya Waislamu milioni tatu jana tarehe 10 Muharram ambayo ni maarufu kama siku ya Ashura, walishiriki katika maombolezo ya kukumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume wetu muhammad (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq.
-
Wafanyaziara milioni 15 wamefika Karbala kushiriki kwenye Arubaini ya Imam Hussein (as)
Oct 30, 2018 07:26Baraza la Mkoa wa Karbala nchini Iraq limetangza kuwa limesajili wafanyaziara milioni 15 walioingia nchini humo kwa ajili ya Arubaini ya Imam Hussein (as) huku idadi ya mazuwari hao ikiwa inaendelea kuongezeka.