-
Iran: Waliounga mkono mpango wa silaha za kemikali wa Saddam washtakiwe
Jul 11, 2024 09:52Balozi wa Iran nchini Uholanzi amesisitiza juu ya udharura wa kushtakiwa na kuadhibiwa waungaji mkono wa kigeni wa mpango wa silaha za kemikali wa utawala wa Baath wa Iraq uliokuuwa ukiongozwa na Saddam Hussein.
-
Jeshi la Marekani linachoma mada ya sumu katika jamii za watu maskini zaidi nchini humo
Mar 28, 2021 23:58Jeshi la Marekani linachoma kwa siri mada moja ya kemikali ya sumu hatari kwa mwanadamu karibu na jamii za watu maskini zaidi nchini humo kwa lengo la kuziangamiza jamii hizo.
-
Syria: Silaha za kemikali ni mbinu pekee ya Aal-Saud kwa ajili ya kuwaokoa magaidi
Apr 09, 2018 22:18Afisa mmoja wa ngazi ya juu katika serikali ya Syria amesema kuwa, utawala wa Aal-Saud unalituhumu jeshi la Syria kwamba limetumia silaha za kemikali nchini humo kwa lengo la kuwaokoa magaidi wa Kiwahabi wa Jaishul-Islami.
-
Makundi yanayoipinga serikali ya Syria yanaendesha propaganda dhidi yake
Apr 09, 2017 02:27Kundi moja kwa jina la "Kofia Nyeupe" limetoa mkanda bandia wa video kuhusu shambulio la kemikali lililotekelezwa hivi karibuni katika mji wa Khan Sheikhoun nchini Syria.
-
Jeshi la Syria lakanusha kuhusika na utumiaji silaha za kemikali
Apr 04, 2017 11:41Jeshi la Syria limekadhibisha madai ya wapinzani kwamba limehusika na shambulio la silaha za kemikali katika mji wa Khan Sheikhoun, mkoani Idlib.
-
Mtafiti Muirani Ashinda Tuzo ya Dunia ya Kemia mwaka 2016
Jun 11, 2016 23:59Mtafiti Muirani ameshinda Tuzo ya Kimataifa ya Mwanakemia Bora wa Kijani mwaka 2016.