-
Mei Mosi: Janga la Corona limeathiri sekta ya ajira Afrika Mashariki
May 01, 2021 08:55Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema licha ya matamanio yake ya kuongeza mishahara, Serikali haiwezi kufanya hivyo kwa sasa kutokana na changamoto kadhaa ikiwemo mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
-
Kamati za Bunge la Kenya zatuhumiwa kula rushwa na kufanya ufisadi
Apr 13, 2021 09:12Kamati za Bunge la Kenya zimetuhumiwa kuwa zinakula rushwa na kuhusika na ufisadi kutokana na wabunge wanaosimamia kamati hizo kufumbia macho uhalifu na mashtaka yanayowasishwa mkabala wa kula rushwa na kupokea hongo.
-
UN yaingilia kati mpango wa Kenya wa kufunga kambi kuu za wakimbizi
Apr 10, 2021 03:42Shirika la Kuhudumua Wambizi la Umoja wa Mataifa UNCHR kupitia taarifa iliyotolewa jana mjini Geneva Uswisi, limetangaza kushirikiana na Kenya na kuweka mapendekezo ya hatua za kuchukua ili kupata suluhisho kwa mgogoro wa wakimbizi wanaoishi katika kambi za Dadaab na Kakuma za nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Iran yaipa Kenya msaada wa vifaa vya kupambana na Corona
Apr 02, 2021 22:16Kenya imepokea msaada wa suhula za matibabu na vifaa vya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Serikali: Wakenya milioni 1.4 wanasumbuliwa na njaa
Apr 01, 2021 07:39Msemaji wa serikali ya Kenya amesema kwa akali Wakenya milioni moja na laki nne wanasumbuliwa na njaa.
-
UNHCR yaisihi Kenya ichukue uamuzi wa busara kuhusu hatima ya wakimbizi walioko nchini humo
Mar 25, 2021 22:25Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limeisihi serikali ya Kenya ihakikishe kwamba maamuzi yoyote itakayofanya kuhusu kambi za wakimbizi zilizoko nchini humo yanakuwa ni suluhu endelevu kwa wakimbizi hao.
-
Naibu Rais wa Kenya, Ruto asema yuko tayari kukihama chama tawala na kujiunga na Raila au UDA
Mar 25, 2021 06:58Naibu Rais wa Kenya William Ruto amesema leo Alhamisi kwa mara ya kwanza kwamba yuko tayari kukihama chama tawala cha Jubilee na kujiunga na chama United Democratic Alliance (UDA) kwa ajili ya uchaguzi wa urais wa 2022.
-
Kenya yazindua kampeni ya kitaifa ya chanjo ya kupambana na corona
Mar 05, 2021 08:54Kenya hii leo imezindua kampeni ya kitaifa ya chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19, huku Patrick Amoth, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Afya akiwa Mkenya wa kwanza kuchanjwa katika ardhi ya nchi hiyo.
-
"Unga mkono serikali au jiuzulu", Uhuru amwambia Naibu Rais William Ruto
Feb 12, 2021 09:24Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya leo Ijumaa amemtaka Naibu Rais William Ruto ajiuzulu, akisema mtu hawezi "kutukana watu" wakati pia anajivunia mafanikio ya serikali.
-
Waislamu wa Kenya waijia juu serikali kwa kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83
Feb 08, 2021 08:52Viongozi na wanaharakati wa Kiislamu nchini Kenya wamekosoa vikali hatua ya serikali ya nchi hiyo kupitia Shirika la Reli kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83 katika kaunti ya Kisumu, magharibi mwa nchi.