Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Baraza Kuu la Waislamu Kenya lamjia juu balozi wa Saudia nchini humo

    Baraza Kuu la Waislamu Kenya lamjia juu balozi wa Saudia nchini humo

    Feb 19, 2020 04:36

    Baraza Kuu la Waislamu nchini Kenya (SUPKEM) limekosoa vikali hatua ya balozi wa Saudi Arabia nchini humo, Mohammad Khayat ya kuingilia masuala ya uongozi wa baraza hilo.

  • Maelfu wakusanyika kutoa heshima za mwisho na kumuaga mzee Moi; kiongozi aliyehudumu kwa muda mrefu huko Kenya

    Maelfu wakusanyika kutoa heshima za mwisho na kumuaga mzee Moi; kiongozi aliyehudumu kwa muda mrefu huko Kenya

    Feb 11, 2020 09:34

    Makumi ya maelfu ya Wakenya leo Jumanne wamekusanyika katika uwanja wa wazi kwa ajili ya mazishi ya kitaifa ya mzee Daniel Arap Moi, kiongozi wa zamani wa nchi hiyo aliyehudumu kwa muda mrefu ambaye aliaga dunia wiki iliyopita akiwa na umri wa miaka 95.

  • Ripoti: Makumi waliuawa mwaka jana katika hujuma za al-Shabaab Kenya

    Ripoti: Makumi waliuawa mwaka jana katika hujuma za al-Shabaab Kenya

    Feb 07, 2020 23:27

    Uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Haki za Binadamu na Sera umebainisha kuwa, watu wasiopungua 83 waliuawa nchini Kenya mwaka uliopita wa 2019 katika mashambulizi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab lenye makao makuu yake katika nchi jirani ya Somalia.

  • Rais wa Kenya aonya kuhusu ushindani wa Marekani na China barani Afrika

    Rais wa Kenya aonya kuhusu ushindani wa Marekani na China barani Afrika

    Feb 06, 2020 08:46

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametahadharisha kuhusiana na ushindani wa Marekani na China barani Afrika na kubainisha kwamba, madola ya kigeni yanazidisha mgawanyiko na mivutano katika bara hilo.

  • Wanafunzi 14 wafariki dunia katika msongamano uliotokea kwenye shule ya msingi nchini Kenya

    Wanafunzi 14 wafariki dunia katika msongamano uliotokea kwenye shule ya msingi nchini Kenya

    Feb 04, 2020 04:10

    Wanafunzi 14 wamefariki dunia na wengine wasiopungua 39 wamejeruhiwa vibaya katika msongamano na mkanyagano uliotokea kwenye shule ya msingi ya mji wa Kakamega ulioko magharibi mwa Kenya.

  • Rais wa zamani wa Kenya, Arap Moi ameaga dunia

    Rais wa zamani wa Kenya, Arap Moi ameaga dunia

    Feb 04, 2020 01:19

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza mapema leo Jumanne kwamba, RAIS Mstaafu wa nchi hiyo, Daniel Toroitich Arap Moi, 1924 – 2020, amefariki dunia.

  • Waislamu Kenya waadhimisha Siku ya Vazi la Hijab Duniani + Sauti

    Waislamu Kenya waadhimisha Siku ya Vazi la Hijab Duniani + Sauti

    Feb 01, 2020 12:17

    Vyama vya Kiislamu nchini Kenya vimehimizwa kushadidisha hamasa juu ya vazi la hijab miongoni mwa Waislamu kama njia pekee ya kukinusuru kizazi cha Kiislamu dhidi ya sheria dhalimu zinazomkandamiza binti wa Kiislamu. Mwito huo umetolewa sanjari na maadhimisho ya Siku ya Vazi la Hijab Duniani ambayo huadhimishwa Februari Mosi kila mwaka. Seifullah Muurtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.

  • Kenya yatakiwa itangeze uvamizi wa nzige wa jangwani kuwa maafa ya kitaifa

    Kenya yatakiwa itangeze uvamizi wa nzige wa jangwani kuwa maafa ya kitaifa

    Jan 17, 2020 08:50

    Serikali ya Kenya imetakiwa kutangaza uvamizi mkubwa wa nzige wa jangwnai nchini humo kuwa ni maafa ya kitaifa kutokana na uharibifu mkubwa unaosababishwa na wadudu hao.

  • Kambi ya jeshi la Kenya ambayo wamo askari wa Marekani yashambuliwa

    Kambi ya jeshi la Kenya ambayo wamo askari wa Marekani yashambuliwa

    Jan 05, 2020 11:59

    Maafisa usalama nchini Kenya wametangaza kujiri shambulizi dhidi ya kambi ya jeshi la nchi hiyo ambayo wapo askari wa Marekani ndani yake.

  • Jeshi la Kenya lazima shambulizi la al-Shabaab Lamu, magaidi 4 wauawa

    Jeshi la Kenya lazima shambulizi la al-Shabaab Lamu, magaidi 4 wauawa

    Jan 05, 2020 04:30

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limetangaza habari ya kuangamiza wanachama wanne wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu, kusini mashariki mwa Kenya, mpakani na Somalia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS