Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Ujumbe wa Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) nchini Kenya + Sauti

    Ujumbe wa Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) nchini Kenya + Sauti

    May 01, 2019 11:28

    Jamii ya wafanyakazi nchini Kenya imeitaka serikali kumaliza tatizo la ufisadi ambalo limeshika kasi sana nchini. Hayo yametolewa na wafanyakazi hao katika sherehe za Siku ya Mfanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo pamoja na mambo mengine wameitaka serikali ya Nairobi kuwaandalia mazingira salama ya kazi ili waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

  • IEA: Kenya na Uganda zinatakatisha 'fedha chafu' za Sudan Kusini

    IEA: Kenya na Uganda zinatakatisha 'fedha chafu' za Sudan Kusini

    Apr 21, 2019 23:00

    Ripoti ya Taasisi ya Masuala ya Uchumi IEA imefichua kuwa, Kenya na Uganda zimefeli kuzuia mzunguko wa pesa haramu zinazotoka katika nchi changa zaidi barani Afrika, Sudan Kusini.

  • 'Al-Shabaab' yawateka nyara madaktari 2 wa Cuba nchini Kenya

    'Al-Shabaab' yawateka nyara madaktari 2 wa Cuba nchini Kenya

    Apr 12, 2019 10:30

    Watu waliojizatiti kwa silaha wanaosadikiwa kuwa wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab wamewateka nyara madaktari wawili wa Cuba katika mpaka wa Kenya na Somalia.

  • Kenya yatenga dola milioni 18.8 kukabiliana na njaa

    Kenya yatenga dola milioni 18.8 kukabiliana na njaa

    Apr 11, 2019 01:46

    Kenya imetenga dola milioni 18.8 (Ksh Bilioni 1.88) kukabiliana na baa la njaa nchini humo ambaloo limewaathiri watu takriban milioni 1.1.

  • Hotuba ya Rais Kenyatta wa Kenya Bungeni yashindwa kutimiza matumaini ya wananchi + Sauti

    Hotuba ya Rais Kenyatta wa Kenya Bungeni yashindwa kutimiza matumaini ya wananchi + Sauti

    Apr 05, 2019 01:51

    Hatimaye botuba ya Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na raia wengi wa nchi hiyo imetolewa ingawa haikutimiza matakwa ya wananchi wengi. Sifullah Murtadha na maelezo zaidi

  • Kenya na Somalia zasuluhisha mzozo wa kidiplomasia, zawarejesha mabalozi

    Kenya na Somalia zasuluhisha mzozo wa kidiplomasia, zawarejesha mabalozi

    Apr 04, 2019 03:36

    Kenya na Somalia zimesuluhisha mzozo wa kidiplomasia baina yao, uliochochewa na mgogoro kuhusu mpaka wa pamoja wa bahari.

  • Njaa inazidi kuhatarisha maisha ya watu nchini Kenya, zaidi ya milioni moja wako hatarini

    Njaa inazidi kuhatarisha maisha ya watu nchini Kenya, zaidi ya milioni moja wako hatarini

    Mar 24, 2019 11:07

    Televisheni ya al Jazeera ya Qatar imeripoti leo kuwa, zaidi ya watu milioni moja wako katika hatari ya kuteketea kwa njaa katika kaunti na wilaya nyingi nchini Kenya kutokana na ukame wa muda mrefu.

  • Iran yalalamikia hatua ya Kenya, yamwita nyumbani balozi wake Nairobi kwa mashauriano

    Iran yalalamikia hatua ya Kenya, yamwita nyumbani balozi wake Nairobi kwa mashauriano

    Mar 17, 2019 13:36

    Balozi wa Kenya mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na kukabidhiwa malalamiko ya Jamhuri ya Kiislamu kuhusu ukiukaji wa haki za wafungwa wawili Wairani wanaoshikilia nchini Kenya.

  • Wakenya 32 ni miongoni mwa watu 157 walioaga dunia katika ajali ya ndege Ethiopia + Sauti

    Wakenya 32 ni miongoni mwa watu 157 walioaga dunia katika ajali ya ndege Ethiopia + Sauti

    Mar 10, 2019 13:11

    Raia 32 wa Kenya ni miongoni mwa abiria 149 na wahudumu wanane, waliofariki dunia kwenye ajali ya ndege iliyotokea mapema leo nchini Ethiopia.

  • Ethiopia yatumia diplomasia kuzipatanisha Kenya na Somalia

    Ethiopia yatumia diplomasia kuzipatanisha Kenya na Somalia

    Mar 06, 2019 23:24

    Upatanishi wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed katika mgogoro wa mpaka wa baharini kati ya Kenya na Somalia umezaa matunda kwa kiasi fulani, baada ya nchi mbili hizo jirani kuafikiana kupunguza taharuki iliyopo kati yao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS