Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Waziri wa Fedha wa Kenya asailiwa tena na Polisi kuhusiana na kashfa ya ujenzi wa mabwawa

    Waziri wa Fedha wa Kenya asailiwa tena na Polisi kuhusiana na kashfa ya ujenzi wa mabwawa

    Mar 05, 2019 04:31

    Polisi ya Kenya imemwita kumsaili kwa mara ya pili Waziri wa Fedha wa nchi hiyo Henry Rotich kuhusiana na kashfa ya mamilioni ya dola ya kutanguliza malipo kwa ajili ya miradi ya ujenzi wa mabwawa mawili.

  • Al-Shabaab yateka mji Somalia baada ya Kenya kuondoa wanajeshi wake

    Al-Shabaab yateka mji Somalia baada ya Kenya kuondoa wanajeshi wake

    Mar 03, 2019 04:19

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab limeuteka mji mmoja wa kistratajia ulioko kusini magharibi mwa Somalia, baada ya jeshi la Kenya KDF kuwaondoa wanajeshi wake waliokuwa wanaudhibiti mji huo.

  • Jamii ya kimataifa yatakiwa itatue mgogoro wa Kenya na Somalia kuhusu bahari

    Jamii ya kimataifa yatakiwa itatue mgogoro wa Kenya na Somalia kuhusu bahari

    Feb 17, 2019 10:32

    Mwanasiasa wa ngazi za juu nchini Kenya Musalia Mudavadi ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dharura kutatua mgogoro wa mpakani unaotokota baina ya Kenya na Somalia ili kuzuia hali kuwa mbaya zaidi.

  • Kenya na Somalia zaingia katika mgogoro mkubwa wa kidiplomasia + Sauti

    Kenya na Somalia zaingia katika mgogoro mkubwa wa kidiplomasia + Sauti

    Feb 17, 2019 04:44

    Kenya imemfukuza balozi wa Somalia mjini Nairobi huku ikimuita balozi wake wa Mogadishu nyumbani, ikiituhumu nchi hiyo ya Pembe ya Afrika kuwa imepiga mnada maeneo yake yenye gesi na mafuta katika mipaka yao ya pamoja ya baharini.

  • SAUTI, Matukio ya Kiislamu, Waislamu Tanzania waendelea kulaani kubomolewa msikiti UDOM na Waislamu Kenya wasisitizia mirathi ya kidini

    SAUTI, Matukio ya Kiislamu, Waislamu Tanzania waendelea kulaani kubomolewa msikiti UDOM na Waislamu Kenya wasisitizia mirathi ya kidini

    Feb 15, 2019 13:07

    Ni matukio ya Kiislamu kuanzia kadhia ya Waislamu watakaoenda kuhiji mwaka huu wa 1440 Hijiria waanza kupewa semina.

  • SAUTI, Fagio la chuma la kudhibiti ufisadi la Rais Uhuru Kenyatta lampitia Waziri Najib Balala

    SAUTI, Fagio la chuma la kudhibiti ufisadi la Rais Uhuru Kenyatta lampitia Waziri Najib Balala

    Feb 15, 2019 13:07

    Tume ya kukabiliana na ufisadi nchini Kenya EACC imemuandikia rasmi barua ya ombi la kutaka kufika mbele yake, Waziri wa Utalii Najib Balala ili kujieleza juu ya sakata ya ubadhirifu wa fedha za umma.

  • SAUTI, Jeshi la polisi nchini Kenya lapata pigo baada ya makamanda wake watano kukutwa na hatia ya kuua

    SAUTI, Jeshi la polisi nchini Kenya lapata pigo baada ya makamanda wake watano kukutwa na hatia ya kuua

    Feb 14, 2019 12:31

    Jeshi la polisi nchini Kenya limepata pigo baada ya mahakama moja ya mjini Kisumu, magharibi mwa taifa hilo, kusema inao ushahidi wa kutosha wa kuwashtaki makamanda watono jeshi hilo kwa kesi ya mauwaji.

  • Mgomo wa madaktari Kenya waingia wiki yake ya pili + Sauti

    Mgomo wa madaktari Kenya waingia wiki yake ya pili + Sauti

    Feb 11, 2019 13:50

    Mgomo wa madaktari na wauguzi nchini Kenya umeingia juma la pili hivi leo (siku ya Jumatatu), huku maelfu ya wagonjwa wanao tafuta huduma katika hospitali za umma wakikosa kupata matibabu.

  • Kenya kumsaidia Rais Felix Tshisekedi kurejesha utulivu DRC

    Kenya kumsaidia Rais Felix Tshisekedi kurejesha utulivu DRC

    Feb 07, 2019 11:14

    Katika hatua inayoonesha ni ya kuzidi kuunga mkono juhudi za kuleta amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema kuwa Nairobi iko tayari kutoa mafunzo kwa wafanyakazi wa sekta ya umma wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kama sehemu ya kuisaidia nchi hiyo kuwa na utulivu wa kudumu na watu wake kuishi kwa usalama na amani.

  • Waislamu Kenya walalamikia marufuku ya Hijabu mashuleni + Sauti

    Waislamu Kenya walalamikia marufuku ya Hijabu mashuleni + Sauti

    Jan 24, 2019 13:16

    Waislamu nchini Kenya wamelalamikia uamuzi wa Mahakama ya Kilele ya nchi hiyo wa kubatilisha ruhusa ya wanafunzi wa kike kuvaa vazi la staha la Hijabu katika shule zote za nchi hiyo. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi...

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS