Kenya yazindua sarafu mpya Madaraka Day + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i53856-kenya_yazindua_sarafu_mpya_madaraka_day_sauti
Taifa la kenya limezindua sarafu mpya katika maadhimisho ya 56 ya Madaraka Day ili kupambana na ufisadi. Rais Uhuru Kenyatta amesema kuwa, pasi na kushirikiana ili kuukomesha ufisadi basi ndoto za waanzilishi wa taifa za kuona Kenya ni taifa lililostaarabika katika kila Nyanja, zitashindwa kutimia. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa, Kenya.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jun 01, 2019 12:23 UTC