Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kenya

  • Kenya yaorodheshwa kati ya nchi zisizochunga haki za binadamu kwa raia + Sauti

    Kenya yaorodheshwa kati ya nchi zisizochunga haki za binadamu kwa raia + Sauti

    Dec 10, 2018 14:37

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeiorodhesha Kenya miongoni mwa mataifa ambayo hayajazingatia kikamilifu haki za raia wake duniani. Ripoti ya shirika hilo iliyozinduliwa leo Jumatatu imeiorodhesha Idara ya Polisi ya Kenya kuwa inaongoza katika ukiukaji wa haki hizo. Mwandishi wetu wa Kenya, Seifullah Murtadhaa anayo maelezo zaidi...

  • Rais wa Kenya atetea kumteua Moody Awori kuongoza bodi ya hazina ya vijana + Sauti

    Rais wa Kenya atetea kumteua Moody Awori kuongoza bodi ya hazina ya vijana + Sauti

    Dec 08, 2018 14:23

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametetea uamuzi wake wa kumteua Makamu wa Rais wa zamani wa nchi hiyo Moody Awori mwenye umri wa miaka 91 kuongoza bodi ya hazina ya vijana. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu wa Kenya, Seifullah Murtadha.

  • Kenya yaomba msaada wa IAEA kutumia teknolojia ya nyuklia kutibu saratani

    Kenya yaomba msaada wa IAEA kutumia teknolojia ya nyuklia kutibu saratani

    Nov 30, 2018 03:55

    Kenya imeomba msaada wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuisaidia kuimarisha matibabu ya saratani katika hospitali mbili kubwa nchini humo na pia kueneza huduma hizo za matibabu katika miji mingine mitatu.

  • SAUTI, Waziri wa Ulinzi wa Kenya: Mgogoro kuhusu kisiwa cha Migingo unasababishwa na ufahamu finyu, kwani unaweza kutatuliwa kirahisi

    SAUTI, Waziri wa Ulinzi wa Kenya: Mgogoro kuhusu kisiwa cha Migingo unasababishwa na ufahamu finyu, kwani unaweza kutatuliwa kirahisi

    Nov 28, 2018 13:15

    Nchi za Kenya na Uganda zimeshauriwa kukaa pamoja kujadili juu ya njia za kufikia mwafaka wa kidiplomasia katika kumaliza mzozo wa umiliki kisiwa cha Migingo kati yao.

  • Mkutano wa Matumizi Endelevu ya Bahari waendelea Nairobi

    Mkutano wa Matumizi Endelevu ya Bahari waendelea Nairobi

    Nov 27, 2018 11:42

    Mkutano wa kimataifa kuhusu matumizi endelevu ya bahari kwa ajili ya ukuaji wa uchumi umeingia siku ya pili hii leo huko Nairobi, Kenya, huku washiriki wakizungumzia umuhimu wa bahari katika uchumi wa visiwa.

  • SAUTI, Hatimaye Msikiti wa Riyadha kisiwani Lamu, Kenya uliojengwa mwaka 1892, umeorodheshwa kuwa kati ya turathi za kimataifa

    SAUTI, Hatimaye Msikiti wa Riyadha kisiwani Lamu, Kenya uliojengwa mwaka 1892, umeorodheshwa kuwa kati ya turathi za kimataifa

    Nov 21, 2018 13:36

    Msikiti wa Riadha umekuwa msikiti wa kwanza nchini Kenya kutambuliwa kimataifa kama moja ya turathi ya kitaifa kutokana na kuwa na umri mrefu tangu ulipojengwa.

  • SAUTI, Kenya yaamua kuimarisha usalama wa baharini kuzuia uhalifu, uvuvi haramu, magendo ya madawa ya kulevya nk

    SAUTI, Kenya yaamua kuimarisha usalama wa baharini kuzuia uhalifu, uvuvi haramu, magendo ya madawa ya kulevya nk

    Nov 20, 2018 13:05

    Serikali ya Kenya imeamua kujiimarisha kwa kudhibiti mipaka yake ya majini ambayo imekuwa ikitumiwa vibaya na makundi ya wahalifu hususan magendo ya madawa ya kulevya na binaadamu.

  • Kenya yawakamata wavuvi 16 wa Tanzania kwa kuingia katika maji yake

    Kenya yawakamata wavuvi 16 wa Tanzania kwa kuingia katika maji yake

    Nov 19, 2018 00:46

    Polisi ya Kenya imewatia nguvuni wavuvi 16 raia wa Tanzania, kwa kuingia katika ardhi yake na kuvua samaki kinyume cha sheria.

  • Waislamu Kenya walalamikia kutengwa na Idara ya Uhamiaji + Sauti

    Waislamu Kenya walalamikia kutengwa na Idara ya Uhamiaji + Sauti

    Nov 16, 2018 02:57

    Viongozi wa Kiislamu nchini Kenya wameilalamikia Idara ya Uhamiaji ya nchi hiyo kuwa ingali inafanya ubaguzi katika utoaji huduma. Seifullah Murtadha na maelezo kamili...

  • Mgomo wa matatu Kenya wamalizika baada kutatiza usafiri

    Mgomo wa matatu Kenya wamalizika baada kutatiza usafiri

    Nov 12, 2018 12:52

    Mgomo wa kitaifa wa magari ya abiria yanayojulikana kama Matatu nchini Kenya ulioanza leo umemalizika baada ya kutatiza usafiri na kulazimisha maelfu kutembea kwa miguu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS