Mgomo wa madaktari Kenya waingia wiki yake ya pili + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i51489-mgomo_wa_madaktari_kenya_waingia_wiki_yake_ya_pili_sauti
Mgomo wa madaktari na wauguzi nchini Kenya umeingia juma la pili hivi leo (siku ya Jumatatu), huku maelfu ya wagonjwa wanao tafuta huduma katika hospitali za umma wakikosa kupata matibabu.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Feb 11, 2019 13:50 UTC

Mgomo wa madaktari na wauguzi nchini Kenya umeingia juma la pili hivi leo (siku ya Jumatatu), huku maelfu ya wagonjwa wanao tafuta huduma katika hospitali za umma wakikosa kupata matibabu.

Majimbo kumi kati ya 47 ya nchini Kenya tayari yanashiriki mgomo huo huku mengine 19 likiwemo jimbo la Nairobi palipo na jiji kuu la nchi hiyo wakitoa taarifa ya kuanza mgomo huo iwapo mazungumzo yanayo endelea yatagonga mwamba. Kwa maelezo zaidi, tujiunge na mwandishi wetu wa nchini Kenya, Seifullah Murtadha....