Washukiwa wanne wa ugaidi wajisalimisha nchini Kenya + Sauti
Jan 21, 2019 14:46 UTC
Washukiwa wanne kati ya wanane waliokuwa wakisakwa na mamlaka za usalama nchini Kenya wamejisalimisha huku polisi wakizidisha msako kote nchini humo.
Duru za ujasusi zimearifu kuwa, wanne hao wamejisalimisha katika kituo kimoja cha polisi cha Kaunti ya Isiolo ya kaskazini mwa jiji la Nairobi.
Mwandishi wetu Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa Kenya...
Tags