-
Rais Uhuru Kenyatta alipongeza jeshi la Kenya kwa kazi nzuri linayoifanya + Sauti
Nov 08, 2018 13:07Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amepongeza juhudi za jeshi la nchi yake KDF kujumlisha tekinolojia ya kisasa katika mfumo wake wa utoaji mafunzo kwa makuruta, akiitaja hatua hio kama chanya kwenye kuafiki kasi ya mabadiliko ya changamoto za kiusalama nchini mwake na Pembe ya Afrika. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi...
-
Vita dhidi ya ufisadi Kenya, asasi za kijamii zaiandalia chata Serikali + Sauti
Nov 06, 2018 03:25Asasi za kijamii nchini Kenya zimeweka mikakati ya kubadilisha taswira kwenye vita dhidi ya ufisadi kwa kuandaa chata ambayo inaielekeza serikali katika kupambana na ugaidi bila ya kutumia nguvu kupita kiasi. Seifullah Murtadha na taarifa zaidi...
-
Baba wa Tovuti ajuta, ataka kudhibitiwa chombo hicho
Nov 02, 2018 12:53Profesa wa Taasisi ya Teklonojia ya Massachusetts na mhadhiri katiika Chuo Kikuu cha Oxford nchini Marekani, Tim Berners-Lee amesema kuwa amekatishwa tamaa na hali ya sasa ya mtandao wa Intaneti (Tovuti) baada ya kashfa kadhaa za jinsi taarifa za watu binafsi katika mitandao ya kijamii zinavyotumiwa vibaya kueneza chuki na uhasama.
-
Waziri wa zamani wa michezo Kenya kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za ufisadi
Oct 13, 2018 12:26Waziri wa zamani wa michezo wa Kenya atapandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya kupora fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya wanariadha wa nchi hiyo walioshiriki michezo ya Olimpiki nchini Brazil miaka miwili iliyopita.
-
Ajali ya basi yaua 50 Kenya, kuna uwezekano idadi ikaongezeka
Oct 10, 2018 04:41Watu wasiopungua 50 wameaga dunia katika ajali ya basi iliyotokea mapema leo ikiwa njiani kuelekea Kisumu kutoka Nairobi.
-
Mazungumzo ya Makamu wa Rais wa Iran na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya
Oct 04, 2018 10:49Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya elimu na teknolojia amekutana na kufanya mazungumzo mjini Nairobi na Waziri wa Viwanda na Biashara wa Kenya na kusisitiza juu ya kustawishwa usafirishwaji nje bidhaa za teknolojia.
-
Deni la Taifa Kenya laongezeka, wataalamu waionya serikali ya Rais Kenyatta isipende sana fedha za mkopo
Sep 28, 2018 01:06Wataalamu wa masuala ya kiuchumi nchini Kenya wamekosoa mwenendo wa ongezeko la deni la taifa, huku wakimtaka Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo asipendelee kuchukua fedha za mkopo kwa kuwa zinalibebesha taifa mzigo mkubwa.
-
Wanachama 10 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Kenya, Lamu
Sep 24, 2018 10:27Askari wa Kenya wamewaangamiza wanamgambo 10 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu.
-
SAUTI, Viongozi wa Kiislamu Kenya, huwenda wakaiburuza serikali mbele ya mahkama ya ICC kulaani ukandamizaji dhidi yao
Sep 20, 2018 11:22Viongozi wa dini ya kiislamu kwa kushirikiana na mashirika ya kutetea haki za binaadamu nchini Kenya watishia kuiburuza mahakamani serikali ya nchi hiyo katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutokana na ukandamizaji wanaofanyiwa na serikali hiyo.
-
Wakenya wamshambulia Seneta aliyemtetea Mchina aliyetoa matusi machafu dhidi yao
Sep 08, 2018 03:00Wananchi wa Kenya wamemshambulia vikali katika mitandao ya kijamii seneta wa eneo la Elgeyo, Marakwet Kipchumba Murkomen kutokana kauli yake aliyoitoa kufuatia sakata la kutiwa mbaroni raia wa China kwa jina Liu Jiaqi aliyewatusi Wakenya pamoja na Rais Uhuru Kenyatta kwa kuwaita nyani.