Rais Uhuru Kenyatta aongoza Wakenya katika maadhimisho ya Jamhuri Day + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i50128-rais_uhuru_kenyatta_aongoza_wakenya_katika_maadhimisho_ya_jamhuri_day_sauti
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Jumatano ya leo amewaongoza Wakenya kuadhimisha miaka 55 ya uhuru wa nchi hiyo (Jamhuri Day) huku maelfu ya raia wakijitokeza katika viwanja mbalimbali nchini humo kuadhimisha siku hii. Saifullah Murtadha mwandishi wetu wa Mombasa ametuandalia ripoti ifuatayo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Dec 12, 2018 13:27 UTC