-
Kenya yaunda sataliti yake ya kwanza, itarushwa anga za mbali Aprili au Mei
Jan 24, 2018 01:06Kenya imetangaza kuunda satalaiti yake ya kwanza ikiwa ni mafanikio makubwa kwa nchi hiyo ya Afrika Mashariki katika uga wa sayansi ya anga za mbali.
-
NASA: Balozi wa Marekani atatue matatizo ya nchi yake inayosambaratika, asiingilie masuala yetu
Jan 22, 2018 04:50Viongozi wa muungano wa upinzani nchini Kenya NASA wamewataka mabalozi wa mataifa ya Magharibi waache mara moja kujihusisha na masuala ya ndani ya Kenya na kusisitiza kuwa watawaapisha viongozi wa muungano huo, yaani Raila Odinga na Kalonzo Musyoka tarehe iliyopangwa.
-
Jitihada za Kudhibiti Homa ya Chikungunya Kenya na Tanzania
Jan 20, 2018 03:59Serikali Kenya na Tanzania ziko mbioni kudhibiti ugonjwa wa Homa ya Chikungunya ambao huambukizwa na mbu aina ya aedes na hauna tiba mahsusi wala kinga.
-
UNICEF yamteua Rais Kenyatta wa Kenya kuwa mtetezi wa uwezeshaji vijana duniani
Jan 20, 2018 03:50Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amekubali ombi la Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto UNICEF, la kumteua kuwa mtetezi wa uwezeshaji vijana duniani.
-
SAUTI, Waislamu Kenya wakasirishwa na hatua ya serikalia kushindwa kutoa radiamali yoyote kwa matusi ya Trump dhidi ya Afrika
Jan 18, 2018 13:11Viongozi wa dini ya Kiislamu nchini Kenya waghadhabishwa mno na hatua ya serikali ya Nairobi ya kuchelewa kuonyesha radiamali kali dhidi ya matamshi machafu ya Rais Donald Trump wa Marekani aliyoyatoa siku chache zilizopita kuwalenga Wafrika na mataifa yao.
-
Kenya yajadili njia za kupambana na hujuma ya silaha za kibaiolojia
Jan 17, 2018 00:49Kenya inapanga mkakati wa kukabiliana na hatari ya silaha za kibiolojia kupitia uwekezaji katika miradi inayolenga kuimarisha hatua za usalama wa kibaiolojia nchini humo.
-
Wakenya walalamikia ongezeko la ughali wa maisha baada ya kupandishwa bei ya mafuta
Jan 16, 2018 05:20Raia wa Kenya wamelalamika ongezeko kubwa la ughali wa maisha nchini mwao kufuatia kupanda kwa bei ya mafuta.
-
Jaji Mkuu Kenya: Inasikitisha kuona masikini ndio wanaohukumiwa zaidi jela kuliko matajiri
Jan 16, 2018 01:09Jaji Mkuu nchini Kenya David Maraga, ameonyesha masikitiko yake kwa kile alichosema kuwa, masikini ndio wanaokamatwa na kutupwa jela kulikoni matajiri.
-
Wakenya wamlaani vikali Rais Trump wa Marekani kwa kuzitaja nchi za Afrika kuwa 'chafu'
Jan 14, 2018 12:26Wananchi wa matabaka mbali mbali nchini Kenya wamemlaani vikali rais wa Marekani, Donald Trump ambaye ametoa matusi na matamshi ya kibaguzi kuhusu nchi za Afrika.
-
EU: Uchaguzi wa Kenya ulizungukwa na ufisadi na vitisho
Jan 10, 2018 12:43Mkuu wa timu ya waangalizi wa Umoja wa Ulaya katika uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti na Oktoba mwaka uliomalizika 2017 nchini Kenya amesema kampeni zilizotangulia zoezi hilo ziligubikwa na rushwa, utumiaji wa mali za umma na vitisho.