-
UN na AU zatoa wito wa amani kabla ya uchaguzi wa marudio Kenya
Oct 23, 2017 10:24Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa zimetoa taarifa ya pamoja zikitoa wito kwa wanasiasa na polisi nchini Kenya kuzingatia sheria katika kutatua mgogoro uliopo nchini humo.
-
Helikopta yaanguka Kenya, wanachama wa Jubilee wanaaminika kuaga dunia
Oct 21, 2017 13:31Ndege moja aina ya helikopta imeanguka katika ziwa Nakuru nchini Kenya muda mfupi baada ya kuondoka katika hoteli moja mjini humo.
-
Polisi Kenya: Watu 4 wameuawa katika maandamano ya upinzani
Oct 20, 2017 13:43Polisi ya kenya imesema kuwa watu wanne wameuawa katika maandamano ya upinzani nchini humo katika kipindi cha wiki mbili zilizopita huku uchaguzi wa rais wa marudio ukikaribia kufanyika wiki ijayo. Polisi ya Kenya imesema kuwa watu hao waliuawa katika mapigano yaliyotokea kati ya maafisa polisi na waandamanaji.
-
Chama cha Jubilee chawashitaki viongozi wa NASA kwa kuwashawishi Wakenya kususia uchaguzi
Oct 20, 2017 01:13Katibu Mkuu wa Chama cha Jubelee nchini Kenya, Raphael Tuju amesema kuwa uongozi wa chama hicho umewasilisha kesi katika Mahakama ya Juu ambayo iliagiza uchaguzi wa urais urudiwe.
-
Mmoja wa viongozi wa Tume ya Uchaguzi ya IEBC nchini Kenya ajiuzulu
Oct 18, 2017 11:48Mmoja kati ya viongozi wanane wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) nchini Kenya ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo mapema leo Jumatano.
-
Upinzani Kenya wasimamisha maandamano, Ruto amtaka Odinga ashiriki uchaguzi
Oct 17, 2017 11:57Muungano wa upinzani nchini Kenya NASA umetangaza kusimamisha maandamano ya kushinikiza marekebisho kwenye Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kuelekea uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26.
-
HRW, AI: Polisi ya Kenya imeua watu zaidi ya 67 katika maandamano
Oct 16, 2017 04:47Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Human Rights Watch na Amnesty International yamesema polisi ya Kenya imeua watu wasiopungua 50 katika maandamano ya upinzani ya kushinikiza mabadiliko kwenye Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC, kuelekea uchaguzi wa marudio wa Oktoba 26.
-
Askofu asilimu Kenya na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti
Oct 15, 2017 23:03Askofu mmoja nchini Kenya amesilimu akiwa na wafuasi wake na kulibadilisha kanisa lake kuwa msikiti.
-
Wapinzani Kenya waendeleza maandamano ya kutaka mabadiliko katika tume ya uchaguzi
Oct 15, 2017 11:32Muungano mkuu wa upinzani Kenya, NASA, leo umeendeleza maandamano ya kutaka mabadiliko katika Tume Huru ya Uchaguzi IEBC.
-
Wanafunzi 6 na mlinzi wauawa baada ya shule kuvamiwa na maharamia Kenya
Oct 14, 2017 06:06Kwa akali wanafunzi sita na bawabu wa shule moja katika mji wa Lokichogio, kaskazini mwa Kenya wameuawa baada ya shule yao kuvamiwa na maharamia wanaoaminika kutoka Sudan Kusini, usiku wa kuamkia leo.