Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Kiongozi Muadhamu: Njama za Wazayuni za kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli

    Kiongozi Muadhamu: Njama za Wazayuni za kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli

    Jun 22, 2023 03:24

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema njama za Wazayuni za kupika majungu ya fitina ili kuibua mifarakano na kuyagawa makundi ya muqawama zimefeli na kusisitiza kwamba, utawala huo wa Kizayuni karibuni utapigishwa magoti na wanamuqawama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Kiongozi Muadhamu: Iran inakaribisha kuhuishwa uhusiano wake na Misri

    Kiongozi Muadhamu: Iran inakaribisha kuhuishwa uhusiano wake na Misri

    May 29, 2023 11:32

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema Iran inakaribisha azma ya kufufuliwa uhusiano wake na Misri.

  • Umuhimu wa kisiasa wa ibada ya Hija katika maneno ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Umuhimu wa kisiasa wa ibada ya Hija katika maneno ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu

    May 18, 2023 09:20

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei asubuhi ya jana Jumatano (tarehe 17 Mei) alieleza baadhi ya vipengee umuhimu vya kisiasa vya ibada ya Hija katika kikao chake na maafisa, wasimamizi na baadhi ya Wairani waliojiandikisha kushiriki ibada ya Hija mwaka huu.

  • "Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; Rai ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kusambaratika utawala wa Kizayuni

    Apr 12, 2023 13:48

    Akizungumzia migogoro ya ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika kikao cha sikukuu ya Nowruz cha maafisa wa Jamahuri ya Kiislamu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei alisema: "Tulisema kwamba utawala wa Kizayuni hautaona miaka 25 mingine, wao wenyewe wana haraka na wanataka kuondoka mapema na wanaendelea kusema kwamba kusambaratika kwa Israel kumekaribia na hatutafikisha umri wa miaka 80."

  • Kiongozi Muadhamu: Maadui wanataka kubadilisha utambilisho wetu

    Kiongozi Muadhamu: Maadui wanataka kubadilisha utambilisho wetu

    Mar 21, 2023 14:33

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema maadui wanapinga Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khomeini (MA), na maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu kila mwaka, sambamba na kuupinga mfumo wa Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran; na kusisitiza kuwa, lengo la maadui ni kubadilisha utambulisho wa taifa hili na Mapinduzi ya Kiislamu, na badala yake walete demokrasia bandia ya Kimagharibi.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe wa Nowruz: 1402; Mwaka wa 'Udhibiti wa Mfumuko wa Bei, Ukuaji wa Uzalishaji'

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe wa Nowruz: 1402; Mwaka wa 'Udhibiti wa Mfumuko wa Bei, Ukuaji wa Uzalishaji'

    Mar 21, 2023 03:30

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei, ametuma ujumbe kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1402 Hijria Shamsia akitoa pongezi kwa wananchi wa Iran na mataifa yote yanayosherehekea Nowruz.

  • Kiongozi Muadhamu azikosoa nchi za Waislamu kwa kufumbia macho kadhia ya Palestina

    Kiongozi Muadhamu azikosoa nchi za Waislamu kwa kufumbia macho kadhia ya Palestina

    Feb 18, 2023 10:58

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezikosoa nchi za Kiislamu kwa kutochokua hatua yoyote ya maana juu ya kadhia ya Palestina.

  • Kiongozi Muadhamu alaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya

    Kiongozi Muadhamu alaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya

    Jan 26, 2023 05:46

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa taarifa kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kiwendawazimu chini ya nara ya 'uhuru wa maoni' ni ishara kuwa uistikbari unalenga Uislamu na Qur'ani Tukufu."

  • Hizbullah yailaani Charlie Hebdo kwa kumvunjia heshima Kiongozi Muadhamu

    Hizbullah yailaani Charlie Hebdo kwa kumvunjia heshima Kiongozi Muadhamu

    Jan 11, 2023 11:22

    Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Waislamu wa Nigeria wakosoa uchochezi wa jarida la Kifaransa

    Waislamu wa Nigeria wakosoa uchochezi wa jarida la Kifaransa

    Jan 07, 2023 10:25

    Waislamu nchini Nigeria wamelaani kitendo cha dharau, kejeli na udhalilishaji cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha vibonzo vya kumvunjia heshima Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS