-
POLITICO: Saudia kutumia mabilioni ili iwe mwenyeji wa Kombe la Dunia
Feb 12, 2023 02:36Saudi Arabia imeripotiwa kutoa pendekezo kwa siri la kuwa tayari kugharamia ujenzi wa miundombinu yote kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia inayotazamiwa kufanyika Ugiriki na Misri mwaka 2030.
-
Erdogan: Ronaldo alikalishwa benchi Kombe la Dunia kutokana na uungaji mkono kwa Palestina
Dec 26, 2022 11:48Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amedai kuwa nyota wa soka wa Ureno Cristiano Ronaldo alipigwa marufuku ya kisiasa wakati wa michuano ya Kombe la Dunia ya FIFA ya 2022 iliyomalizika hivi karibuni nchini Qatar kwa kuunga mkono Palestina.
-
Kufikia tamati mashindano ya soka ya Kombe la Dunia nchini Qatar na engo zake zisizo za kimichezo
Dec 20, 2022 07:39Pazia la mashindano ya soka ya Kombe la Dunia lilifungwa rasmi siku ya Jumapili kwa timu ya taifa ya soka ya Argentina kutwaa kombe hilo baada ya kumshinda bingwa mtetezi Ufaransa.
-
Iran: Kufanyika Kombe la Dunia kwa mafanikio ni fakhari kwa nchi za Kiislamu
Dec 20, 2022 02:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kufanyika kwa mafanikio michuano ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar ni jambo la fakhari kwa nchi za Kiislamu.
-
Argentina bingwa wa soka Kombe la Dunia 2022
Dec 18, 2022 18:53Timu ya taifa ya soka ya Argentina imetwaa Kombe la Dunia 2022 baada ya kuwasinda mabingwa watetezi Ufaransa kwa mikwaju ya penalti.
-
Morocco yawashtaki waamuzi wa mechi ya nusu fainali Kombe la Dunia, yasema waliipendelea Ufaransa
Dec 16, 2022 08:01Shirikisho la Soka la Morocco limewasilisha mashtaka dhidi ya mwamumuzi wa mechi ya nusu fainali kati ya timu ya taifa ya nchi hiyo na Ufaransa katika mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022.
-
Argentina yatinga fainali Kombe la Dunia; ndoto za Messi kutimia?
Dec 14, 2022 04:26Timu ya taifa ya soka ya Argentina imetinga hatua ya fainali ya mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar baada ya kuibamiza timuu ngumu ya Crotia mabao 3 kwa nunge.
-
Morocco yapanga safari 30 za ndege kuwabeba mashabiki hadi Doha
Dec 13, 2022 04:32Shirika la Ndege la Morocco, Royal Air Maroc linapanga safari 30 za ndege maalum kuwabeba mashabiki wa soka kutoka Casablanca hadi Doha kwa mchezo wa Jumatano wa nchi hiyo wa nusu fainali ya Kombe la Dunia dhidi ya Ufaransa.
-
Morocco na Ufaransa kupepetana nusu faina ya Kombe la Dunia
Dec 11, 2022 15:06Timu za soka za taifa za Ufaransa na Morocco zitakutana katika hatua ya nuusu ya fainali za Kombe la Dunia zinazoendelea huko nchini Qatar.
-
Kombe ya Dunia: Morocco yaandika historia; timu ya kwanza ya Afrika kutinga nusu fainali
Dec 11, 2022 14:46Timu ya soka ya taifa ya Morocco imekuwa timu ya kwanza ya Afrika kusonga mbele katika nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ureno na kumuacha gwiji wa soka Cristiano Ronald na wenzake wakigaragara kwa vilio na majonzi.