-
Maveterani wa kivita Marekani wamtaka Trump aombe radhi kwa kudharau hasara kubwa iliyosababishwa na kipigo cha Iran
Jan 26, 2020 03:20Kundi moja la maveterani wa vita vya nje ya Marekani wamemtaka rais wa nchi hiyo Donald Trump aombe radhi kwa kudharau madhara waliyopata wanajeshi wa Marekani baada ya kambi yao ya Ain al Assad ya nchini Iraq kushambuliwa kwa makumi ya makombora ya Iran.
-
Hizbullah: Kombora letu jipya linaweza kusambaratisha manowari yoyote
Sep 17, 2019 02:32Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) imesema kombora lake jipya lenye uwezo wa kulenga shabaha kwa umakini mkubwa linaweza kuharibu aina yoyote ya manowari na meli za kijeshi.
-
Ansarullah yashambulia maeneo muhimu ya kijeshi mjini Riyadh
Aug 26, 2019 13:20Msemaji wa harakati ya Ansarullah ya Yemen ametangaza kuwa, wapiganaji wa harakati hiyo wamefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani dhidi ya kituo muhimu sana cha kijeshi katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.
-
Russia yasema itajibu mapigo kwa hatua yoyote ya Marekani ya kuweka makombora Asia na Ulaya
Aug 18, 2019 13:17Waziri wa Ulinzi wa Russiia ametahadharisha kwamba, Moscow itajibu hatua yoyote ya Marekani ya kuweka makombora katika nchi za Asia na Ulaya.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini: Majaribio ya makombora ni 'onyo' kwa Marekani na Korea Kusini
Aug 08, 2019 03:59Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametangaza kuwa mlolongo wa majaribio ya makombora yaliyofanywa hivi karibuni na Pyongyang yametuma "onyo tosha" kwa mazoezi ya kijeshi ya pamoja yanayofanywa na Korea Kusini na Marekani.
-
Gorbachev: Kujitoa Marekani katika mkataba wa INF kutasababisha hali ya mchafukoge duniani
Aug 04, 2019 13:41Kiongozi wa mwisho wa lililokuwa Shirikisho la Kisovieti la Urusi, Mikhail Gorbachev ameikosoa Marekani kwa kujitoa katika mkataba unaopiga marufuku silaha za nyuklia za masafa ya kati (INF) na kueleza kwamba: Hatua hiyo ya Washington ni mwanzo wa mashindano mapya ya uundaji silaha na kuanza hali ya mchafukoge duniani.
-
Wanamuqawama wa Yemen wavurumisha makombora 4 ya Zilzal-1 kwenye ngome za askari wa Saudia
Jul 27, 2019 04:12Jeshi na kamati za wananchi nchini Yemen limevurumisha makombora manne aina ya Zilzal-1 kwenye ngome za vibaraka wa muungano vamizi wa Saudia katika mikoa ya Aseer na Najran kusini mwa Saudia.
-
Makombora ya Marekani aina ya 'TOW' yadhibitiwa na jeshi la Syria kutoka ngome za magaidi
Mar 29, 2019 08:13Katika mwenendelezo wa operesheni za jeshi la Syria kwenye maeneo ya kusini mwa nchi hiyo, jeshi hilo limefanikiwa kudhibiti zana na silaha zilizosalia kwa magaidi, yakiwemo makombora aina ya TOW ya Marekani.
-
Mapigo ya makombora ya Wapalestina katika kujibu mashambulio ya Israel
Mar 08, 2019 07:45Vyombo vya habari vya Kizayuni vimethibitisha habari ya mashambulio ya makombora mawili ya Wapalestina yaliyovurumishwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelelekea vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
-
Rais Rouhani: Tunajifakharisha kwa makombora yetu ya kiulinzi na kielimu
Jan 10, 2019 16:03Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, makombora leo hii ni zana ya kujilinda Iran na taifa letu leo hii linajivunia na linaona fakhari kubwa kuwa na nguvu za kiulinzi za makombora.