-
Katibu Mkuu wa UN: Ghaza ni uwanja wa mauaji, kuwahamisha Wapalestina hakukubaliki
Apr 09, 2025 06:37Katika tamko kali zaidi ambalo amewahi kutoa hadi sasa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa indhari kuhusu hali ya janga la kibinadamu inayozidi kuwa mbaya katika Ukanda wa Ghaza.
-
Wawakilishi wa Kongresi: Israel inakiuka sheria kwa kutumia silaha za Marekani kufanya mauaji
Apr 18, 2024 10:40Kundi la wawakilishi wa chama cha Demokratic katika Kongress ya Marekani limesisitiza kuwa, utawala wa Israel unakiuka sheria kwa kutumia silaha za Marekani kufanya mauaji na mashambulizi makali huko Palestina.
-
Mbunge wa Marekani ataka kadhia ya Ghaza imalizwe kama zilivyofanyiwa Hiroshima na Nagasaki
Apr 02, 2024 02:48Tim Walberg, Mbunge wa jimbo la Michigan Kusini nchini Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican amelazimika kufuta kauli aliyotoa ya kutaka Ukanda wa Ghaza uliozingirwa, ambao ni makazi ya zaidi ya watu milioni mbili, ushughulikiwe kama ilivyofanyiwa miji ya Nagasaki na Hiroshima ya Japan ambayo ilishambuliwa na Marekani kwa mabomu ya nyuklia.
-
Afrika Kusini kuzishtaki Marekani na Uingereza kwa kuhusika na jinai za kivita za Israel Gaza
Jan 16, 2024 07:05Baada ya Afrika Kusini kuwasilisha kesi dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kwa kuhusika na mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza, mawakili wapatao 50 wa nchi hiyo wanatayarisha mashtaka mengine tofauti dhidi ya serikali za Marekani na Uingereza kwa msingi kwamba, serikali hizo zinahusika katika jinai na uhalifu unaofanywa na jeshi la Israel huko Gaza.
-
Kuboreshwa uwezo wa ndege zisizo na rubani za Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 11, 2023 09:19Brigedia Jenerali Hamid Vahedi, Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amewasilisha ripoti ya utendaji wa mwaka jana wa jeshi hilo na kutangaza ongezeko la 33% la idadi ya ndege zisizo na rubani za Jeshi la Anga.
-
Kwa nini Biden amekataa kuitangaza Russia kuwa ni nchi inayofadhili ugaidi?
Sep 09, 2022 02:45Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, Karine Jean-Pierre alitangaza Jumanne wiki hii kwamba uamuzi wa Joe Biden wa kutoitangaza Russia kuwa ni mfadhili ugaidi ni wa mwisho.
-
Kongresi kuzuia mauzo ya silaha kwa tawala za Saudi Arabia na Israel
Sep 20, 2021 08:01Mbunge wa Kongresi ya Marekani amebuni muswada unaopiga marufuku uuzaji wa silaha za nchi hiyo kwa tawala za Saudi Arabia na Israel.
-
Tathmini ya siku 100 za serikali ya Biden kuwa ofisini
May 02, 2021 02:22Baada ya kupita siku 100 tokea Rais Joe Biden wa chama cha Democrat achukue madaraka ya Marekani, watu wamekuwa wakitathmini utendaji wa serikali yake katika kipindi hiki, kipindi ambacho baadhi ya wataalamu wanasema kwamba licha ya kufanikiwa katika baadhi ya sehemu lakini ameshindwa pakubwa kutekeleza ahadi alizotoa katika kampeni za uchaguzi.
-
Pelosi: Warepublican waliomuondoa Trump hatiani ni waoga
Feb 14, 2021 07:50Spika wa Baraza la Wawakilishi la Marekani amewakosoa vikali Maseneta wa chama cha Republican waliopiga kura kumuondoa hatiani aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
-
Pelosi: Walioshambulia Kongeresi ni magaidi wa ndani ya Marekani
Feb 06, 2021 13:23Spika wa Kongresi ya Marekani amesema kuwa waungaji mkono wa rais wa zamani wa nchi hiyo, Donald Trump ambao mwezi Januari mwaka huu walishambulia jengo la Kongresi ni magaidi wa ndani ya nchi.