-
Shirika la kutetea haki za watoto: 2021, ni mwaka waliouliwa watoto wengi zaidi wa Palestina
Dec 16, 2021 03:27Shirika moja la kutetea haki za watoto limesema, tokea 2014 hadi sasa, mwaka huu wa 2021 ndio ulioshuhudia umwagaji mkubwa zaidi wa damu za watoto wa Palestina.
-
Jihad Islami yatilia mkazo kuendelezwa mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel
Dec 11, 2021 10:13Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imemesisitiza udharura wa kudumishwa mapambano dhidi ya utawala haramu wa Israel.
-
Leo Ijumaa, ni siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Askari AS
Oct 15, 2021 04:22Ijumaa ya leo inayosadifiana na mwezi 8 Mfunguo Sita 1443 Hijria ni siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hasan al Askari, Imam wa 11 wa Waislamu wa Kishia duniani.
-
Wananchi Bahrain waandamana kulaani kifo cha mfungwa wa kisiasa gerezani
Jun 11, 2021 12:30Mamia ya Wabahraini wamejitokeza kuandamana katika mji mkuu Manama, kumkumbuka mfungwa wa kisiasa ambaye amefariki dunia kutokana na COVID-19 akiwa katika gereza la kuogofya la utawala wa kiimla wa Aal Khalifa.
-
Polisi wa utawala wa Kizayuni wawaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili Wapalestina
Feb 02, 2021 07:32Polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi vijana wawili Wapalestina baada ya kuvamia eneo moja katika mji Tamra kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wanajeshi wa Israel wamuua shahidi Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi
Jan 27, 2021 04:25Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamempiga risasi na kumuua shahid kijana Mpalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Kiongozi Muadhamu: Watieni adabu waliofanya na kuamrisha jinai ya kuuliwa kigaidi shahid Fakhrizadeh
Nov 28, 2020 09:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo wajibu wa kutiwa adabu na kupewa adhabu isiyoepukika wote waliofanya na kuamrisha mauaji ya kigaidi ya mwanasayansi wa Kiirani, Dk. Mohsen Fakhrizadeh.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel
Nov 02, 2020 04:22Vijana watatu wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la al-Jalil, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina 27 wauawa shahidi miezi sita ya kwanza mwaka 2020
Jul 27, 2020 07:24Wapalestina 27 wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2020.
-
Umati mkubwa wa Wairaqi wakusanyika mahali walipouawa shahidi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis
Jan 10, 2020 08:11Mamia ya Wairaqi wamekusanyika mahali makombora ya jeshi la kigaidi la Marekani yalipoulenga msafara wa magari yaliyokuwa yamewabeba Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq la Al-hashdu-Sha'abi na kulaani jinai hiyo ya Marekani.