-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel
Nov 02, 2020 00:52Vijana watatu wa Kipalestina wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la al-Jalil, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wapalestina 27 wauawa shahidi miezi sita ya kwanza mwaka 2020
Jul 27, 2020 02:54Wapalestina 27 wameuawa shahidi kwa kupigwa risasi na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2020.
-
Umati mkubwa wa Wairaqi wakusanyika mahali walipouawa shahidi Qassem Soleimani na Abu Mahdi al-Muhandis
Jan 10, 2020 04:41Mamia ya Wairaqi wamekusanyika mahali makombora ya jeshi la kigaidi la Marekani yalipoulenga msafara wa magari yaliyokuwa yamewabeba Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu na Abu Mahdi al-Muhandis, Naibu Mkuu wa Jeshi la Kujitolea la Wananchi wa Iraq la Al-hashdu-Sha'abi na kulaani jinai hiyo ya Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuna njama maalumu za kusahaulisha utamaduni wa jihadi na kufa shahidi
Dec 26, 2019 08:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, suala la kuwaenzi mashahidi ni jambo la lazima na ni jukumu la kila mtu kwani hivi sasa kuna siasa na harakati za kikhabithi zinazolenga kusahaulisha nembo za Mapinduzi ya Kiislamu hususan utamaduni wa jihadi na kuwa tayari kujitolea kufa shahidi katika njia ya Allah.
-
Kamanda mwingine wa Jihad Islami ya Palestina auawa shahidi
Nov 13, 2019 08:28Kamanda mwingine wa ngazi za juu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina ameuawa shahidi katika hujuma ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Maombolezo ya Imam Ali Ridha (as) nchini Iran
Oct 29, 2019 04:22Leo Jumanne tarehe 30 Swafar 1441 Hijiria sawa na tarehe 29 Oktoba Miladia inasadifiana na siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Ali ar-Ridha (as), mjukuu wa Mtume Mtukufu (saw) miaka 1237 iliyopita.
-
Makumi ya mateka wa Kipalestina wameuawa kwa mateso Israel
Oct 03, 2019 00:44Kundi la kutetea haki za binadamu la Palestina limeripoti kuwa, makumi ya mateka na wafungwa wa Kipalestina wameuawa kwa mateso na ukatili wa aina mbalimbali wakihojiwa na kusailiwa na maafisa wa magereza na jela za utawala haramu wa Israel.
-
Jeshi la Israel lamuua shahidi Mpalestina huko Ghaza
Aug 11, 2019 03:02Kijana mmoja Mpalestina mapema leo asubuhi amekufa shahidi baada ya kupigwa risasi na askari wa Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel huko kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Polisi wa Iran auawa shahidi akipambana na magenge ya mihadarati
Jul 10, 2019 03:26Afisa mmoja wa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuawa shahidi wakati akipambana na magenge ya madawa ya kulevya katika eneo la Minab, mkoani Hormozgan, kusini mwa Iran.
-
Wazayuni waua watoto 16 wa Kipalestina
Jul 10, 2019 03:14Kituo cha Haki za Binadamu cha Mizan kimetoa ripoti na kusema kuwa, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu wa 2019, wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeshaua shahidi watoto 16 wa Kipalestina kwa kuwapiga risasi kwa makusudi.