-
Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran
Apr 02, 2020 10:23Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba, 'Marekani haitaki uadui na Iran na kwamba italazimika kufanya nayo mazungumzo.'
-
Takwa la Russia la kuondolewa vikwazo visivyo vya kiutu vya Marekani dhidi ya Iran
Mar 17, 2020 23:39Kuendelea vikwazo vya Marekani vyenye wigo mpana na ambavyo havijawahi kushuhudiwa dhidi ya Iran ambavyo vilianza kutekelezwa baada ya Washington kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA Mei 2018, ni hatua ambayo ilikabiliwa na malalamiko na ukosoaji mkubwa katika uga wa kimataifa ambapo hata washirika wa Ulaya wa Washington nao waliikosoa hatua hiyo isiyo ya kibinadamu.
-
Sudan yaitaka Marekani iondoe vikwazo dhidi yake
Sep 19, 2017 03:15Rais wa Sudan ametaka kuondolewa vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi yake.
-
Libya yataka kuondolewa vikwazo vya silaha
May 24, 2017 09:55Waziri Mkuu wa serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya ametaka nchi yake iondolewe vikwazo vya silaha.
-
Sisitizo la kuondolewa vikwazo vya kuingiza silaha nchini Libya
May 15, 2017 09:01Katika mwendelezo wa mashauriano kwa lengo la kuimarisha usalama na uthabiti nchini Libya, Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amekutana na kamanda mkuu wa jeshi la Libya na kusisitizia umuhimu wa kuondolewa vikwazo vya uingizaji silaha nchini humo.
-
Marekani yalegeza misimamo yake kwa Sudan
Apr 19, 2017 21:57Tangu baada ya Rais Omar al Bashir wa Sudan kujiunga na Saudi Arabia katika mashambulizi dhidi ya raia wasio na ulinzi wa Yemen, nchi za Magharibi zimeonekana kulegeza misimamo yao kuhusu serikali ya Khartoum. Kwa mara ya kwanza Sudan imeruhusiwa kushiriki katika kikao cha wakuu wa kikosi cha pamoja cha kundi la nchi za Marekani, Ulaya na Afrika, maarufu kwa jina la Africom.